englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mkuu nilishawahi kumtema demu wa stahili kama hiyo, ilikuwaje:
Siku moja nilimtoa outing kwa mara ya kwanza kufika kiwanjani akaagiza soda ya Coca cola na kuku nusu. Kinyume na matarajio yangu kwamba alikuwa na njaa, yule demu alikula kama hiyo picha ya kwanza juu kuku finyango mbili tatu akasingizia kuku mwenyewe mgumu, soda akainywa nusu akaacha vyote.
Siku moja nikamtembelea nyumbani kwake kwa kushtukiza, bhana nilimkuta anakamua ugali wa kisukuma kwa matembele na samaki wa kibua wa kuchomwa. Kilichonichosha zaidi ni jinsi alivyokuwa anakula kama huyo wa picha namba mbili hapo chini. Ofcourse aliponiona kiaina alishtuka sana na mm nililiona hilo.
Akili yangu ilihoji kwamba alifanya vile kama kunikomoa na wala si hulka yake halisi, nilichoamua ni kugonga kufidia usumbufu na kusepa.
ungemwambia avilipie yeye mwenyewe.Mkuu nilishawahi kumtema demu wa stahili kama hiyo, ilikuwaje:
Siku moja nilimtoa outing kwa mara ya kwanza kufika kiwanjani akaagiza soda ya Coca cola na kuku nusu. Kinyume na matarajio yangu kwamba alikuwa na njaa, yule demu alikula kama hiyo picha ya kwanza juu kuku finyango mbili tatu akasingizia kuku mwenyewe mgumu, soda akainywa nusu akaacha vyote.
Siku moja nikamtembelea nyumbani kwake kwa kushtukiza, bhana nilimkuta anakamua ugali wa kisukuma kwa matembele na samaki wa kibua wa kuchomwa. Kilichonichosha zaidi ni jinsi alivyokuwa anakula kama huyo wa picha namba mbili hapo chini. Ofcourse aliponiona kiaina alishtuka sana na mm nililiona hilo.
Akili yangu ilihoji kwamba alifanya vile kama kunikomoa na wala si hulka yake halisi, nilichoamua ni kugonga kufidia usumbufu na kusepa.
unamfungia alichobakisha akamalizie mbele ya safari.Wapo kibaaaaaaaao.tena wakiwa hawalipii wao utakoma. Anaweza kuagiza ng'ombe mzima akala ulimi tu na kusema ameshiba.
Ningefanya hivyo nisingemfolongonji. Nilivuta subira mpaka nilipofanya yangu nikaingia msituni.ungemwambia avilipie yeye mwenyewe.