Downtrodden from the previous employer

kidambinya

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,176
1,712
Msaada kwa anayefahamu hizi HR Consult. Firms maana wamekuwa wakiwapeleka vijana wengi katika Makampuni na kwa waajiri wengine.
Ninaifahamu moja inayoitwa NFT Consult. Tanzania.
Nisaidieni kunipatia faida au hasara za kuajiriwa na hizi HR Consult. Firms
Nimeandika kwakuwa nimeajiriwa na moja ya hizo HR Consult. Firms baada ya KUACHA kazi kutokana na kunyanyaswa na mwajiri.
 
Nilipitia magumu sana kazini, nikaacha kazi 2018 na kupitia magumu ambayo sikuyatarajia katika maisha.

Nilijua nitadharaulika ila sio kwa kiwango kile. But Mungu hamtupi aliyemuumba daima, nimedondokea mikononi mwa HR Consult Firm inayoitwa NFT.

Nashukuru maisha yanaenda na nalipwa juu zaidi ya kile nilichokuwa nalipwa kwani mimi ni Outsourced employee katika ofisi nayofanyia (Outsourced by NFT).

Ombi: Nisaidieni nipate taarifa za kutosha juu ya hizi consultancy firms zinazojishughulisha na HR maana ni mgeni huku.
Hii imekaa kama promo kwa NFT, Au??
 
Hongera sana kwa kupata kazi, hasa kipindi hiki cha Magufuli ukichukulia kazi zilivyokuwa ngumu kupata.

Ushauri: Kuhusu taarifa za kutosha juu ya hizi consultancy firms zinazojishughulisha na HR: Andika thread upya, yenye heading ambayo inaendana na unachokitaka, na unataka kikusaidie kufanya nini.

Ndani ya hiyo thread acha kuzungumzia habari za ulikuwa wapi na umetoka wapi. Jikite kwenye uhitaji wa taarifa zako.

NFT ni nini?
 
Asante kwa Ushauri
 
Back
Top Bottom