Download Speed: Shkamoo Halotel

naomba nielekeze jinsi ya kudowload movies kwenye pc pls
Unatakiwa kuwa software inaitwa utorrent baada ya hapo ingia website hizi extratorrent,Kickass.to,Piratesbay utaweza kudownload
 
modem zao za internet zikoje na bei gani?zinahitaji line zao au?
2016 hakuna haja ya kujifunga kununua modem ili utumie mtandao mmoja, nunua modem ambayo una uhakika utaweza kui unlock itumie mitandao yote au kama unaona ngumu nenda dukani kanunue universal modem zinazotumia line zote bei ni hio hio around 30,000. then utaeka line unayoipenda na kujiunga kifurushi unachokipenda
 
lovely,,,hazisumbui kusoma network?
 
Unatakiwa kuwa software inaitwa utorrent baada ya hapo ingia website hizi extratorrent,Kickass.to,Piratesbay utaweza kudownload

lovely,,,unaandika kama yalivyo hayo maneno ndani ya hiyo utorrent?
 
Leo nilipita kwenye ofisi za halotel pale mwenge wakaniambia modem zao unaweza kutumia kwa mitandao yyt
 
*148*55# line ya university promo ni special inauzwa buku tatu.za kawaida buku. 9999 unapata 7gb kwa mwezi
Mkuu hizo package unapataje?? Mbona mi nikichek napata 500mb kwa tsh500 pekeake akuna package nyingine.
 
Mkuu hizo package unapataje?? Mbona mi nikichek napata 500mb kwa tsh500 pekeake akuna package nyingine.

chagua option ya kwanza vifurush vya halotel halafu chagua mwezi ndio utakipata hicho.

ila kama shida ni internet kifurush chako cha sasa ndio kizuri

500x20=10,000
500mbx20=10gb

so utapata 10gb kwa 10,000 kifurushi chako cha sasa na utapata 7gb kwa 10,000 kifurush hicho chengine
 
Chief-Mkwawa Naomba code za Airtel 10gb per night maana nimeunga *149*99# wamenipa 1gb tu kwa tsh 400
 
Me mwenyee nilkua naskia mnisfia halotel kwa speed yake daah nakaenda kununua laini nikajiunga na night offer daah naamka asubuhi nakuta GB 12 zimeishaa daah halotel ni sheed
Night offer GB ngapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…