Sijui kwako wewe na kifaa ulichokuwa unatumia lakini mimi nakumbuka vizuri Airtel walivyo launch HSPA+ wao pamoja na Zantel Download speed utorrent ilikuwa inafika Max 2MB/s, Nakucheza 1MB/s to 1.6MB/s.Yah! Ni maajabu kwa kwel. Ila mi nakataa eti hyo kasi imeanza n airtel tok 2012
kwa bundle za internet *148*66# kwa bundle za chuo *148*55#
Ngoja Watu wajae tutarudi wemyewe tu kwemye Mitandao Kongeee..
hiyo ni speed na ni per sec unaweza ukaendesha gar uko speed 120 lakini bado upo same una kuja dar! na kwa taharifa airtel kwangu ilishagonga speed ya 70mpbs na si mara moja tangu mwaka jana!unajua kama 3g haiwezi fika hio speed? na hakuna simu/modem duniani ya 3g yenye speed hio hebu tuambie mwenzetu umetumia kifaa gani?
umetumia kifaa gani? sababu kifaa chenye speed kubwa zaidi duniani cha 3g ni 42mbpshiyo ni speed na ni per sec unaweza ukaendesha gar uko speed 120 lakini bado upo same una kuja dar! na kwa taharifa airtel kwangu ilishagonga speed ya 70mpbs na si mara moja tangu mwaka jana!
chief hapo hakuna shida japo si mtaalamu sana ,nadhani unajua 3g ni nini na katika 3g kuna uboreshaji umefanyika mpaka tukafika 4g na wengine wapo LTE, huko kwenye minara wana upgrade software na kubadilisha baadhi ya vifaa. katka kujibu swali lako haraka mitandao ya kibongo ipo 3g+ hiyo inamaana uwezo wa kupitisha data umeongezeka mfano hspa+ ata simu yako inaonyeshaga H+ ama 3g ukiona H+ speed ni kali mpaka 100mpbs ,sasa utapataje hiyo speed chagua mtandao sahihi wa internet. kuongezea kuna tofauti flan hutokea kuhusu speed ya download ukiwa unatumia dashboard tofauti mfano unatumia zantel airtel na tigo na nyingine ya modem huawei HSPA na torrent, utagundua speed ya kwenye torrent download ni tofauti na speed ya dashboard ya kwenye tigo ama airtel ama zantel. mfano umeweka airtel line speed inaonyesha 17mpbs ukichek kwenye dashboard ya zantel itaonyesha 5mpbs ukija tigo itaonyesha 21mpbs ukija kwenye torrent itaonyesha 52mpbs na ni file moja unadownload not multiples of files. nachokwambia hiyo speed ipo tigo wanadai wana LTE airtel wanayo kitambo na kazi ya LTE na 4G ili uweze kufikia speed kama hiyo ya data transfer. kifaa nachotumia ni modem ya HSDPA huawei inaingiza laini yeyote na sim pia..samsung tecno zenye lte ama hspda tech iwe upgraded na iwe poa zaidi iwe rooted. ukiskia 3g ya mwaka 2004 sio 3g ya mwaka 2015 itakuwa 3g+++ lakini ni 3gumetumia kifaa gani? sababu kifaa chenye speed kubwa zaidi duniani cha 3g ni 42mbps
sasa unachotuambia hapa wewe kibajaji chako chenye speed kubwa ya km60 per sec kimekimbia hadi 120ps so tutakuaminije?
taja kifaa chako tukiangalie sasa hivi
Mkwawa naomba nikulize na kibajaji changu movie ya mb 702 nimedownload kwa dk 12 je speed ya download ilikuwa ngapi?umetumia kifaa gani? sababu kifaa chenye speed kubwa zaidi duniani cha 3g ni 42mbps
sasa unachotuambia hapa wewe kibajaji chako chenye speed kubwa ya km60 per sec kimekimbia hadi 120ps so tutakuaminije?
taja kifaa chako tukiangalie sasa hivi
Hichi kitu unachokisema nimekupata.... ni error kwenye dashboard ya Airtel hata mimi kuna wakati dash board ya Airtel ilikuwa inaniandikia hadi 50mbps to hizo 70mbps but after inacrash na inaacha kuonyesha speed itabaki 0 hata kama internet ipo on wakati modem ilikuwa 7.2mbps top speed. H+ AIFIKII HIZO SPEED!!! hata ingia youtube hizo ni speed za 4g.. Angalia hata America au South Korea.chief hapo hakuna shida japo si mtaalamu sana ,nadhani unajua 3g ni nini na katika 3g kuna uboreshaji umefanyika mpaka tukafika 4g na wengine wapo LTE, huko kwenye minara wana upgrade software na kubadilisha baadhi ya vifaa. katka kujibu swali lako haraka mitandao ya kibongo ipo 3g+ hiyo inamaana uwezo wa kupitisha data umeongezeka mfano hspa+ ata simu yako inaonyeshaga H+ ama 3g ukiona H+ speed ni kali mpaka 100mpbs ,sasa utapataje hiyo speed chagua mtandao sahihi wa internet. kuongezea kuna tofauti flan hutokea kuhusu speed ya download ukiwa unatumia dashboard tofauti mfano unatumia zantel airtel na tigo na nyingine ya modem huawei HSPA na torrent, utagundua speed ya kwenye torrent download ni tofauti na speed ya dashboard ya kwenye tigo ama airtel ama zantel. mfano umeweka airtel line speed inaonyesha 17mpbs ukichek kwenye dashboard ya zantel itaonyesha 5mpbs ukija tigo itaonyesha 21mpbs ukija kwenye torrent itaonyesha 52mpbs na ni file moja unadownload not multiples of files. nachokwambia hiyo speed ipo tigo wanadai wana LTE airtel wanayo kitambo na kazi ya LTE na 4G ili uweze kufikia speed kama hiyo ya data transfer. kifaa nachotumia ni modem ya HSDPA huawei inaingiza laini yeyote na sim pia..samsung tecno zenye lte ama hspda tech iwe upgraded na iwe poa zaidi iwe rooted. ukiskia 3g ya mwaka 2004 sio 3g ya mwaka 2015 itakuwa 3g+++ lakini ni 3g
Hiyo hapo kumsaidia Chief... ni kama 900KB/s to 1MB/s so ilikuwa inacheza around 6-8Mbps.Mkwawa naomba nikulize na kibajaji changu movie ya mb 702 nimedownload kwa dk 12 je speed ya download ilikuwa ngapi?
nashukuru kwa kunielewa kidogo japo nilipata shida ya ufafanuzi najua kwamba umekubaliana na mimi kuhusu utofauti wa speed kwenye dashboard toffauti na ukaita kwamba ni error na ambayo haina jina. naomba nikwambie kwamba ukitaka haswa kujua speed ya mtandao wako kwa njia rahisi na madhubuti na ufanisi tumia torrent download iwe kama dashboard yako kuangalia speed!, na hiyo ndio actual speed ya mtandao wako kwa wakati huo na badae na kila siku zijazo.Hichi kitu unachokisema nimekupata.... ni error kwenye dashboard ya Airtel hata mimi kuna wakati dash board ya Airtel ilikuwa inaniandikia hadi 50mbps to hizo 70mbps but after inacrash na inaacha kuonyesha speed itabaki 0 hata kama internet ipo on wakati modem ilikuwa 7.2mbps top speed. H+ AIFIKII HIZO SPEED!!! hata ingia youtube hizo ni speed za 4g.. Angalia hata America au South Korea.
asante mtakuja namwambia kijana kuna wakati inagonga 67mpbs ananiambia hapana unatumia kifaa gani! chief mkwawa nakuomba uje mjini...Hiyo hapo kumsaidia Chief... ni kama 900KB/s to 1MB/s so ilikuwa inacheza around 6-8Mbps.
1MB/s x 60 minutes =60MB
60MB x 12 minutes 720MB
Speed ya kawaida ya Airtel usiku wa manane.
asante mtakuja namwambia kijana kuna wakati inagonga 67mpbs ananiambia hapana unatumia kifaa gani! chief mkwawa nakuomba uje mjini...
mkuu hujaelewa nachokwambia hakuna kifaa cha 3g kinachokubali speed hio hivyo haiwezekani kupata hio speed hio ni fact na sio suala la kujadili.Unataka kuniambia unatembeaga na constant speed [emoji115] nachokisema hiyo speed ipo tena sana ila network in a Up n down! Sasa kama wewe hujaifikia subir wakati wako