Download Speed: Shkamoo Halotel

Mbona hata Airtel na Voda mpira unangalia live bila shida
 
Nauliza namna ya kujiunga kifurushi cha 1000. Wiki nataka MBs tuu bila dk mm lengo langu ni vifurushi vya net tuu msaada wananzengo....please
 
Mh halotel ni hatari!! Wana speed nzur wewe upo ndani ndani
 
Lakini mimi nashangaa kwa watu wanaohamahama mitandao kutegemea speed kubwa....

Hili tatzo la speed inategemea na mambo mengi.
1. Number of user kwenye mnara husika kwa wakati huo (mf. Halotel ilipoanza user walikua kidogo ila kwa sasa wanaanza kuongezeka so msongamano mkubwa)

2. Umbali ulipo kutoka kwenye mnara husika, ukiwa mbali sana signal strenght inapungua.

3. Hali ya hewa huchangia sana, mawingu mazito na mvua husababisha kufifia kwa signal ( lakin kwa wanaotumia microwaves).

4. Uwezo wa vifaa mf. Uwezo wa ericsson si sawa na huawei au alcatel.

5. Coverage

Na mengine mengi....
Mimi navyojua itafikia kipindi network ya halotel itaanza kuwa na user wengi hvyo speed itakua tatzo tu, ila nachowasifu ni kutumia fiber optics kwenye transmission, hapa wamebamba....

Ila tigo Voda nao wanatandaza fiber kwa kiasi kikubwa nategemea mageuzi makubwa sana.
 
Ita tcra hivi sisi ndo wateja ama wao ndo wateja
 


naunga mkono hoja.
 
kwenye halotel kwenda mitandao mingine badao , ni hapo tu
 
Umeset APN?
 
Hawa jamaa ni shida mkuu Mimi nilikuwa natumia Tigo BT nimewakimbia long time Halotel nawakubali sana kwenye net
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…