Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,261
sijawahi cheki exactly resolution wanayotumia modbro ila nahisi ni around 240p hadi 360p ukieka kwenye tv au simu/tablet/laptop yenye kioo chenye resolution kubwa haitaonesha vizuri.mi natumia simu Natumia file la mobdro
1 gb kwa match? Vifurushi vyao tatizo ni bei juu japokuwa speed n mzuri.inategemea na resolution mimi hutumia hadi 1gb kupanda kwa mechi nikiangalia kwa hd au full hd.
tunahitaji broadband mkuu nchi zote duniani zilizoendelea broadband ndio hutumika sana na bei zake ni nafuu. kwa vitu kama hivi mobile data ni matatizo1gb per match kwa hd? Tatizo hivi vifurushi vina bei kubwa na Mbs ni kidogo.
Mimi nina 4g ya tigo nimetumia kwenye xperia Z2 but majanga speed haivuki 400KBps tena nime enable lte only.Duh.. Naikubali halotel lakini kwa hili nabisha
Na sasa hivi hapa Tabata naona Vodacom wamevuta Optic Fibre cable kwenda kwenye minara yao yote sasa nasubiria waweke mambo sawa tuone mkongwe atavyo wafunika wote hadi halotel
Teremka hadi Jangwani,Magomeni still itakuwa bado iko vizuri.Nikiwa DIT hapa dsm speed ya tigo 4G average speed ni 38mbps kwa hiyo hao halotel wanawapa shida watu wanaotumia 3G tuu ila kwa tigo 4G wanasubiri
Ulijiunga kifurushi gani mkuu.. Cha wiki au mwezi?Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
Naam, hata mimi nimejionea mwenyewe usiku wa kuamkia leo... Sina dought yoyote juu ya hawa wavietnam kabisa.Ulijiunga kifurushi gani mkuu.. Cha wiki au mwezi?
Ulitumia kifurushi gani?Naam, hata mimi nimejionea mwenyewe usiku wa kuamkia leo... Sina dought yoyote juu ya hawa wavietnam kabisa.
Night pack... Movies zenye ukubwa wa 8GB kuanzia muda huo wa saa sita usiku mpk mida ya sita hivi... Nilikuwa nafanya seeding tu, speed yao inatisha haelezeki kabisa.Ulitumia kifurushi gani?
Kwa kifurushi gani,sbb mimi nililipia kifurushi cha bila kikomo cha elfu 25 kwa cku 30?nilitumia kwa speed nzuri kwa km cku 4 tu wakanitumia msg muda wangu wa kuwa na internet yenye speed umekwisha,tangu hapo episode 1 ya mb 200 nadownload kwa cku 2!Night pack... Movies zenye ukubwa wa 8GB kuanzia muda huo wa saa sita usiku mpk mida ya sita hivi... Nilikuwa nafanya seeding tu, speed yao inatisha haelezeki kabisa.
leta ushahidi wa kitaalamu kwambaHuu mtandao bado ni mpya kwa hiyo haujawa looderd.
Kifurushi hicho ni cha usiku, gharama yake ni 1500Tsh wanakupa 18GB zenye kasi isiyoelezeka kwenye lugha ya kawaida.... Muda wa kujiunga ni shart iwe saa sita usiku na unaanza kutumia hapo hapo mpk alfajiri... Kipo kwenye code hizi *148*66# then utachagua 5 (internet) utaselect 4 (usiku) ukifika hapo jichagulie mwenyewe..Kwa kifurushi gani,sbb mimi nililipia kifurushi cha bila kikomo cha elfu 25 kwa cku 30?nilitumia kwa speed nzuri kwa km cku 4 tu wakanitumia msg muda wangu wa kuwa na internet yenye speed umekwisha,tangu hapo episode 1 ya mb 200 nadownload kwa cku 2!
Mbona kwangu ipo slow sana? Yaani kudownload app ya fb inachukua dkk 15Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
unatumia ka itel mkuu?Mbona kwangu ipo slow sana? Yaani kudownload app ya fb inachukua dkk 15
Natumia Samsung S5. Ila tigo 4G ilikua poa sanaunatumia ka itel mkuu?
au umeweka ktk mode ya only 2G?
manake hiyo speed tunatarajia kuiona kwa airtel na tigo na sio halotel