Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Wadau, nikiwa kwenye simu yangu naingia kwenye web ya free movies kama kawaida. Lakini ili ni-download i have to right click and save link as. Sasa maujanja ya kupata "save as" sina wadau. Natumia samsung galaxy.