Download IDM hapa

Download IDM hapa

hiyo version uliyonayo ni cracked?
IDM inazingua sana kama huna license.
 
Cracked mizinguo sana bora utumie trial tu.
Siku zako 30 zikiisha unaunstall na revo unistaller then unapakua free ingine maisha yanasonga kimtindo
 
crack...IDM.... mbona.... ni... simple...sana...me ...huwa... nadownload......latest IDM.....na ....kutafuta crack/patch ...yake...kwenye...Torrent site...
Maisha...yanasonga...hivyo
 
me nina njia ya kuifanya isiulize licence maisha yote.niliigundua mwenyewe.napakua videos youtube na kila download link.ni noma
 
IDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
 
Ki file gan mkuu hicho
 
me nina njia ya kuifanya isiulize licence maisha yote.niliigundua mwenyewe.napakua videos youtube na kila download link.ni noma
mkuu mtumiaji si unazungumzia idm _PopUp_Remover.??
 
Last edited by a moderator:
IDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
Pokofame kwann utumie 6.18 wakat version mpya zpo pa1 na crack zake.?
 
Last edited by a moderator:
Pokofame kwann utumie 6.18 wakat version mpya zpo pa1 na crack zake.?

V6.18 ndo pekee ambayo jamaa walisahau kuweka strong pirate security tofauti na version nyingine ambazo jamaa wako strictly, ukumbuke perfomance ya v6.18 na hizo nyingine ni ileile na matumiz hayabadiliki,
 
Ki file gan mkuu hicho

wakati ukishaicrack kuna pop up huwa inatokea continously ya kukutaka ununue idm genuine, ukiiangalia icon ya kile kipop-up na kwenye installation folder ya idm yako kunakuwepo na kifile cha dll kina icon kama ileile, ukikidelete kile unabakiwa na idm genuine inayotoa pop up moja tu wakati inawaka na kukwambia uinstall idm upya, ambayo ni junk notification, unakuwa unaifunga tu na idm inabaki poa siku zote hadi utapojimix kuiupdate, ndo njia pekee ya kuifanya idm genuine kwa karibu 98% ukiacha hicho kipop-up wakati inainitialize, njia hii niliigundua mwenyewe, ijaribu nawe pia
 
Kwenye pc yangu nina idm version mbalimbali na zote nimezitumia bila mizinguo nyingine una install tu na kuendelea kufanya yako
 
IDM is an old story with new words, haina mizinguo kama utachukua 6.18 na ukaizuia auto update, ninayo karibu mwaka sasa, no chenga, kuna kifile cha dll unatakiwa kukifuta na hapo inakuwa orphan kabisa,
Dadavua mkuu hicho kifile ni kipi maana dll file zipo nyingi we taja jina la hiyo dll file nikiondoe bila kuremba
 
Back
Top Bottom