kuwa mstarabu weweee' kama umeshindwa si unasema usaidiwe,,Wacha kutufanya sisi matahira we *****
mkuu hiyo mbona ni 'Direct Link',,,au unatumia njia gani kudownload labda?mbona sioni linki na nashangaa mutu inapongeza au mnaandaliwa watu wa kupongeza
inawezekana umefungua applications nyingi kwenye background, "double press" menu button mara mbili alafu end all running applications (nadhani unajua), zinakula RAM ya simu sometimes applications zingine zinashindwa kufunguka..
basi JF App ya IOS haipo stable kwa baadhi ya iphones, lakini kwa iPhone 4 na 4S naona inafanya kazi vizuri..tusubiri developer mhusika afanyie marekebisho