Download free JF application for Blackberry

Mkuu naona jf ni msaada mkubwa sana,Mimi Minas ka blackbery 8310,nafungua internet kupitia opera mini 4,hii inashindwa kabisa ku down load hili faili la jf.au haina uwezo?pls
 
kwa hapa walio na blackberry sisi wenye vimeo hatutaweza hii application

Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo
Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App World
ili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
 
Wa2 wananunua blackberry alafu wanaeka mini kabang kisha wanasumbua watu ah!mckurupuke
 
Jamani wakuu mimi nimedown load whtsup imeniambia ni verify phone no nimeweka no inaandika tu Awaiting network tatizo nn
 
Application iko sawa, inaeleweka na inarahisisha, yani pm, like n.k

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo
Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App World
ili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.

Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.

Mkuu me natumia Z30 najaribu kudownload majibu ni this App is not available for this device. Ebu nisaidie
 
Wakuu naona bado Jf ya BlackBerry z30 haipo: "The item is not available for your selected device"
 
Back
Top Bottom