Download free JF application for Android

Mkuu;
Sisi wenye NOKIA lumia 510 vipi tunafanyaje maana kila nikijaribu inagoma.
 
Hii app ni noumaaa.nimeikubali.
Mwanzo ilikuwa inanipa shida kutumia lkn sasa.hv mambo mswanoo
 

dah! mkuu Young Master mbona nimefuata hii link leo ila naambiwa not found?? nilikuwa nayo hii app ila nili-restore simu kwa sababu fulani fulani sasa muda huu navyorudishia applications ndio naambiwa kuwa URL haipo. Msaada mkuu maana nilikuwa ilikuwa imenirahisishia kweli matumizi yangu ya JF tangu nihamie Android world. Thanks in advance mkuu
 

Ingia kwenye google play store halafu nenda kwenye search na utaipu Jamii Forums...utaipata.
 
Wakuu trplmike, Kingdom, LORDVILLE, Kaizer na wengine wote ambao walikuwa wanapata matatizo katika kutumia app za JF, uongozi wa JF unapenda kuwafahamisha kuwa app ya JF for android imeshafanyiwa marekebisho na kuboreshwa zaidi. Fanya update ya app yako na uendelee kufurahia kuperuzi mtandao wa JF kwenye smartphone au tablet yako. Thanks to Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
Solid update ila mi bado nalia na 4.x design style... Kwa simu zisizo na menu button(found in 2.x) like htc one tunapata this big menu black bar hapa chini which can be fixed by just a few changes tu... (Attached is an image ya ninachosema)
 
Last edited by a moderator:
da mkuu update iko poa sana naona kuna great improvment.....ngija niendelee kutest nione kama lile tatizo la kucrash mara kwa mara kama limefanyiwa kazi
 
nashkuru sana kwa taarifa!! sasa ntai update vp?? nii unstall na kuiweka upya au??
 
Thanks for the update ila kuna tatizo moja nalipata .... Siwezi weka picha kwenye post
 
Last edited by a moderator:

Mkuu sijui ndo umefanyaje. Naona kama umeharibu coz siwezi kuweka picha tena kama zamani. Kulikoni mkuu?. mia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui ndo umefanyaje. Naona kama umeharibu coz siwezi kuweka picha tena kama zamani. Kulikoni mkuu?. mia

Kweli @figganiga hata mimi siwezi kuweka picha.. pia hata washikaji zangu wawili waana'face same tatizo. Na nimeshawaambia wahusika hapo juu lkn hamna mrejesho wowote
Cc Young Master
 
Last edited by a moderator:
Kweli @figganiga hata mimi siwezi kuweka picha.. pia hata washikaji zangu wawili waana'face same tatizo. Na nimeshawaambia wahusika hapo juu lkn hamna mrejesho wowote
Cc Young Master

Bora wangeacha kama ilivokua. Naamini hili tatizo litarekebishwa. CC:
Invisible. mia
 
Last edited by a moderator:
Tulisharekebisha. Update your app to the latest release.

Ukiwa unaandika post, kuna sehemu ipo kama Camera; bonyeza hapo na endelea.

Unayo ongea ni kweli lakini tangia waupdate inaonekana hujatumia. Haiupload. Zamani ilikua inakuletea inline or remove lakini kwa sasa haikuletei chochote. Inakuambia upload complete100% lakini picha haionekani. Halafu kitufe cha like hakipo. Jaribu kupitia uone. Mi nimeupdate ijumaa hii. Mia
 
Jarman mnatutesa rekebisheni hii app hatuwezi weka picha
 
Thanks wakuu wa jf sema sijazileta mapema ..... Now your app is better than ever.

Thanks thanks. .. Kuweka picha now naweza na everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…