Download free JF application for Android

mimi nikiandika jamiiforums app inazingua, wanasena niandike upya, inakuwaje?
 
Hatukupata jibu lolote la utafutaji
wako - Jamiiforums .
Mapendekezo:
Hakikisha kuwa maneno yote
yana tahajia sahihi.
Jaribu maneno muhimu
tofauti.
Jaribu maneno muhimu ya
jumla zaidi.

INALETA HAYO MANENO
 
Hatukupata jibu lolote la utafutaji
wako - Jamiiforums .
Mapendekezo:
Hakikisha kuwa maneno yote
yana tahajia sahihi.
Jaribu maneno muhimu
tofauti.
Jaribu maneno muhimu ya
jumla zaidi.

INALETA HAYO MANENO

Sijakuelewa mkuu. Hayo maelezo yako yanamaanisha nini?
 

Mkuu naomba msaada kidogo maana nikijaribu napokea error message inayosema "Error retrieving information from server. [RPC:S-5: AEC-0]"
 
Mkuu Young Master mmeshaupdate hiyo JF app iwe compatible na Android Jelly Bean? Mi bado inacrash inavotaka tu:disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Wakuu trplmike, Kingdom, LORDVILLE, Kaizer na wengine wote ambao wanapata tatizo hili na mengine kama haya kwenye Apps za JF, uongozi wa JF unatambua tatizo mnalolipata katika kutumia Apps za JF na tatizo hilo linashughulikiwa. Tunaomba uvumilivu wenu wakati delevopers wanaendelea kushughulikia tatizo hili. Uongozi wa JF unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza.
 
Last edited by a moderator:

Kwanini wasiombe wao wenyewe unaomba radhi wewe mtumiaji kama mimi,je wamekuja na tamko rasmi la kwamba wanatatua tatizo hili?
 
Last edited by a moderator:
poa poa mkuu umesomeka.....ila mfanye mapema maana sometimes inaboa sana hii hali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…