Mkuu Young Master hii appl imegome kwenye simu yangu toka juzi apa sijui kuna tatizo gani..nimeupdate lakini bado..haifunguki...always connecting to server. Anroid version 4.1.2
Please hebu chekini kama iko okay
Cc Invisible
Mi pia natumia Android 4.1.2 ila kwangu ipo poa.. May be inaweza kuwa Mtandao unasumbua
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
flora msoffe... wewe unatumia simu gani! labda kama aplication inatofautiana kati ya simu na simu. Coz katika setting nimeselect kuona notifications but.. sizioni kabisaMi naziona burdan k
Bsa
Habari Young Master na wadau wengine?
Samahani nawezaje kuona notifications.. mathalani quotes na mention. Natumia Os ya android.. simu huawei
Unatumia latest version ya JF App? If yes then jaribu ku-clear cache and data ya JF app then jaribu kutumia tena uone kama tatizo limekwisha.
inafanya vizuri napokea notification km nitakavyo.
ili kuidownload hakikisha hizi application una mojawapo 1.play store
2. moboginie
3.mobile market
sasa ukiwa na mojawapo ya hizo application ingia na usearch Jamiiforum kisha install ni rahisi mno