Download files using torent

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
Wakuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kudownload files za internet kwa kutumia programs za tolent coz kila nikijaribu inakataa any one who got an idea plz?
 
mm navyofahamu ni kwamba unafungua website ya torrent unasearch wimbo unaoutaka. wakt huo umfungua programu yako ya torrent kwenye mashine yako...ukishaupata huo wimbo unaclick afu utaudrag pale kwenye torrent ya kwnye mashine yako then inaanza kudownload
 
Lazima kwanza uwe ume install program ya utorrent katika computer yako. Kisha unatafuta hiyo torrent ilipo nayo unai download. Njia rahisi ninayotumia mimi ni kui double click hiyo torrent niliyodownload na hapo hapo utorrent inajiingiza kazini kwa kunionyesha ni files zipi zilizotayari kushuka na ninakubali mambo yanakwenda bambam. Good luck endelea kushusha torrent mkuu wangu.
 
Wakuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kudownload files za internet kwa kutumia programs za tolent coz kila nikijaribu inakataa any one who got an idea plz?

[h=1]TUTORIAL: How to use BitTorrent and download Torrents[/h]
Usisahau kubonyeza neno (Thanks)
 
Last edited by a moderator:
Search bora kabisa ya torrent ni torrenscan.com baada ya kuistall torrent downloader kama vile utorrent au bit torrent


Ubora wake ni nini kamanda nielmishe
Nikicheki chap chap hata kwenye rank haipo hata kwenye top 50 torrents site. Na hata home page inatia shaka. Ukifanya search na yenyewe inafanya searcg google. In short hiyo site haijatulia
 
njia rahisi hii hapa .kama una jua jina la kitu unacho taka download fungua google (tuseme unataka download movie ya rush hour 3) kwenye ggole andika rush hour 3 torrent zita funguka web kibao zenye hiyo torrent .fungua mmoja wapo tafuta neno download this torrent/download torrent bofya select location ya ku save itachukuwa kama sekunde 60 kudownload hyo torrent nenda sehemu ulipo save hyo file bofya ili ifunguke kwenye torrent ianze kujidownload. ubora wa hii kitu its free cha kwanza nadhani utorrent imenunuliwa na bit torrent sasa.hizi ni site zinazo pigwa vita sana kwaihyo ukisema uangalie bora ipi ngumu sana coz zote kazi ni mmoja sema mbembwe ndizo zinatofautiana
 
Back
Top Bottom