Mmewachagua wasanii sasa wanasanii.Msirudie tena ee!!!!!!!
Ingia mtaani uone, wewe hatutakupiga risasi za moto, ni maji ya kuwasha kwenye ghala la silaha,ujikune hadi silaha yote inapukutika.
Wamelipwa lini na nani kawalipa na ni kiasi gani cha fedha wamelipwa?
wamelipwa lin???
Source plz!!!
Hoja zinajibiwa kwa hoja,mjibu tu jamaa yanini ukimbie hoja yake?Hivi na wewe unajiita mtanzania tena ni member wa jf? Oooooh my GOD! Lakini nina makosa sana kukulaumu sana ngoja nikae kimya kwa sababu bado ni usiku sana, ila kukicha utakuwa umeelewa hata kabla sijaongea kitu
wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

umesahau kuwa watanza huwa tunazoea shida?

Ingia mtaani uone, wewe hatutakupiga risasi za moto, ni maji ya kuwasha kwenye ghala la silaha,ujikune hadi silaha yote inapukutika.

Mmewachagua wasanii sasa wanasanii.Msirudie tena ee!!!!!!!

Hivi na wewe unajiita mtanzania tena ni member wa jf? Oooooh my GOD! Lakini nina makosa sana kukulaumu sana ngoja nikae kimya kwa sababu bado ni usiku sana, ila kukicha utakuwa umeelewa hata kabla sijaongea kitu

wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa nasi tupo kimya kabisa.

ugumu wa maisha unapanda kila siku raia tupo kimya hakuna anayepiga kelele, ona bei ya sukari imepanda hakuna anayejigusa, Jairo karudishwa ofisin watu kimya, mafuta bei juu watu kimya.

Nimegundua sisi wapiga kelel tu action hakuna kabisa, nawasilisha

Hivi tz mabomu yanapatikana wapi?Nimelalamika imetosha,kama kuna mahal yanapatikana wenye roho ngumu tupewe,tuanze kulipuka na magamba mmojammoja,alaaaaa!