Dowans walilipwa mara mbili mobilization costs? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans walilipwa mara mbili mobilization costs?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamatandala, Feb 28, 2011.

 1. M

  Mwamatandala Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Waungwana jamvini mu hali gani?
  Hapa nilipo kibamba dar es salaam,umeme umekatika tangu asubuhi.
  Nikakumbuka namna kampuni ya kisanii dowans ilivyolipwa mara mbili gharama ya kusafirisha mitambo yake kuileta hapa nchini(mobilization costs) ambayo ni sehemu ya makubaliano katika mkataba.kwa taarifa nilizozipata ni kwamba mitambo hiyo ililipiwa nauli ya ndege na meli,ingawaje ukweli ni kwamba mitambo hiyo ilisafirishwa kwa meli.
  Kama kuna mdau anataarifa zaidi na atujuze.
  Nawasilisha.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Mitambo ya Dowans ilikuja kwa ndege, tena midege mikubwa duniani ya mizigo Antonov.

  Hivi wewe ulijuaje Dowans wamelipwa Mobilization mara mbili ukashindwa kujuwa hiyo mitambo ilifikaje Tanzania?
   
 3. M

  Mwamatandala Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni uhaba wa taarifa tu wadau.na ndio maana nikalileta shauri hili jamvini.nashkuru kwa kunijuza.
   
 4. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Dowans ya mkwere itatumaliza wa tanganyika
   
Loading...