DOWANS: Slaa ulituongopea!

 
Hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM atakaetaja dowans ya nani bt JK anahusika 100% km aliweza kuwaambia wizi warejeshe pesa atawasamehe{EPA}unafikiri anaweza kujitoa ictoshe mkwere alikuwa foreign waziri so anajua yote haya
pia mucsahau kw CCM walimkataa MWAKALIBELA kisa kakamatwa na TAKUKURU bt wakawakubali CHENGE na MRAMBA wenye makesi jinai na ufisadi ss ww unafikiri utatoa ushahidi gn ambao unaweza kumfunga MKWERE mwisho wa cku ukikubali au ukikataa anahusika
 
inategemea na iq yako iko level gani. Haitaji kuambiwa ili kugundua kuwa richmond and dowans ni ubia wa jk, el na ra
 
Halafu Ngeleja haonyeshi hata uchungu wa kushindwa TANESCO kwenye kesi....anaonyesha kabisa yuko upande gani...yaani mtu akuibie mkeo halafu unamtetea?

Atafanya nini huyo alishanasa kwenye angaza za wenyewe, hana cha kufanya itabidi atekeleze ninalosemwa na RA maana huyu Ngereja na yeye alishaonja hela za Rostam Azizi (inasemekana kwamba mwaka 2005 alipewa milioni 50 kwa ajili ya kampeni za Ubunge)... hana la kufanya anatamani sana kuwatetea wananchi lakini keshakula cha mtu, na huyu RA sio mjinga hebu kumbuka Mchungaji Mtikila alijifanya anmpakazia jamaa sio raia lakini kumbe Mtikila na yeye alishakula milioni 3 za jamaa na alipokuja kuumbuliwa mpaka leo Mtikila kimya ameufyata... sio kosa lake Ngereja anahitaji kuwekwa huru dhidi ya minyororo ya mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…