M Mwikimbi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,762 Reaction score 835 Mar 26, 2009 #1 kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili: huenda imeshanunuliwa kimya kimya au labda ilikuwa inapshwa moto? wenye kuelewa hili jambo naomba mtuondoe wasiwasi
kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili: huenda imeshanunuliwa kimya kimya au labda ilikuwa inapshwa moto? wenye kuelewa hili jambo naomba mtuondoe wasiwasi
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,218 Reaction score 24,550 Mar 26, 2009 #2 Piga ua lazima itanunuliwa...
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,362 Reaction score 39,847 Mar 26, 2009 #3 Imenunuliwa hiyo. kinatafutwa uthibitisho ili waanze kuhamisha mijisenti. Mgao ni bosheni ya miaka ya 60 ambayo hata todler anaweza kung'amua
Imenunuliwa hiyo. kinatafutwa uthibitisho ili waanze kuhamisha mijisenti. Mgao ni bosheni ya miaka ya 60 ambayo hata todler anaweza kung'amua