Dowans ni second version ya Richmond. Richmod ilikuwa ni dili ya kikwete na mzungu mmoj Gire. Dowans ilidizainiwa na Rostam Azizi ku cover up issue ya Richmond. Ukiutazama kiupana mchanganuo mzima, utagundua dili zima la Richmond/Dowans/Symbian ni la Jakaya Kikwete. Na hii ya kumleta mama Clinton nchini ni katika jitihada za JK kuzima huo msala wake.
Watu wa ndani wanajua pia kuwa Lowassa hahusiki moja kwa moja na issue ya Richmond/Dowans. Yeye alikuwa anatekeleza dili za bosi wake.
Wapendwa nawasalaam.
Nikiwa mwanajamii, ningependa kujua nani atakayelipwa mabilioni ya Dowans
Alafu mjamaa anasema hawajui, na wala hana haja ya kuwajua, hawajawahi kumfuata!!
sasa mimi naulisa, kuna usalama wa taifa, kwa nini asiwape amri ya kuwajua hawa DOWANS wanaokula inji yetu ni akina nani.
wa mwibala.
Mbona unaturudisha nyuma? Au ilipojadiliwa hoja hii mwenzetu ulikuwa hujamalizia kifungo chako?
hadi leo tu hujui ni ya kina nani??????????aaaaaarrrrrghhhh uko wapy wewe??????????