Mkuu Son of Soil nimekusoma na nimeona Logic yako, lakini hatuwezi kuuacha ukweli eti kwa sababu Dowans walizalisha na kuuza umemem kwa TAnesco
Mkuu hoja inarudi nyuma kabisa na wala sheria haianzi juu kuja chini bali inaanza chini kuja Juu
Richmond walishakiuka masharti ya mkataba, Wao waliingia Ubia na Dowans Bila kuwashirikisha Tanesco ikiwa na maana kuwa huo Mkataba kati ya Dowans na Richmond ni batili, kwa hiyo Dowans Amekuja Tanesco kama mtoto HAramu amepewa nguvu na Richmond bila kumshirikisha Upande wa Pili, hicho kifungu kinainyima Dowans Haki ya kulipwa chochote hata kama walizalisha na kuuza umemem kwaTanesco
Mali zote za ubalozi na wanabalozi, wote wako covered under diplomatic immunity, hivyo hawashiki kitu, hatuna meli yoyote inayokwenda nje ya nje, hatuna ndege, after all, hao Dowans wenyenyewe ni hewa, sasa hiyo attachment wataiomba wapi?.Umezungumza vizuri ila kuna kitu umesahau Tanesco ni mali ya URT,Diplomat immunity vested by Geneva Convention inahusika kwa arthi mlizonunua na kumiliki sio Arthi za balzo nyingi za Tanzania ambazo tumepewa na Nchi husika na nyingi kati ya hizo hatuna hati ya umiliki hii ni hatari kwani balozi nyingi zitakuwa hatihati
Usisahau Tanzania ina meli zinazunguka duniani kama MV Tanzania na Mapinduzi ,hata kama ATC imekufa ila ilikuwa na ofisi zake nje ya nchi na assets
Naona akina Fungamtama ni wengi humu. Someni the Law of contract kwa makini.Pole sana ila tukichelewa hawa ICC wana haki ya kuatach mali zetu kokote ulimwenguni na hii itakuwa mbaya zaidi kwani; Kwanza tutalipa bila kupenda Pili tutalipa na riba kubwa Tatu-tutalipa na gharama zote za usumbufu na utaratibu Nne-Tutakuwa tumechafua jina la nchi yetu kote ulimwenguni Mwisho-Tutaweka rekodi mbaya ICC na hatutashinda kesi yoyote pale kwani THIS WILL BE TAKEN AS THE COURT PRECEDENT SERIKALI WALIPENI DOWANS HARAKA ILA CHUKUENI HATUA ZA KINIDHAMU JUU YA WOTE WALIOIPOTOSHA TANESCO
Pole sana ila tukichelewa hawa ICC wana haki ya kuatach mali zetu kokote ulimwenguni
Umepitia yote hayo kama nani?
Watanzania wengi wameupitia na kuona feki wewe ni R A pandikizi !
Halipwi mtu hadi kieleweki
Haya ndio wanayosema wanaharakati wetu wamesahau hata mambo ya msingi katika mkataba[/QUOTE]
Ndugu nashindwa kuelewa unachotaka ku-advocate hapa ni nini hasa! Je unataka kukatisha tamaa wanaharataki kwamba hawajuhi wafanyalo wasipoteze muda! Mimi nafikili ni weledi wazuri tu wa mikataba si wakurupukaji, kama waliweza kukabili mikataba ya CITY WATER na kufaulu kwa nini wawe underrated hapa. Sikuelewi kabisa mimi.
Amaaa Pasco tenkyu kwa kubaeleza,endelea kubaelezeaSon of Soil, kuwalipa Dowans, lazima tuwalipe, ila sababu halisi za kuwalipa, sio hizi wewe ulizoziorodhesha, bali tutawalipa Dowans smply because ni wakubwa wanajilipa.
Tusipowalipa Dowans, hakuna mali ya Tanzania itakayoshikiliwa kama attachment, kwa sababu mdaiwa ni Tanesco as an entitiy na sio serikali, afterall, serikali yatu haina movable assets mahali popote duniani, hatuna meli, wala ndege ya kusema wataishikilia. Nyumba zote za serikali tunazozimiliki nje ya Tanzania, ni ofisi za Ubalozi, zina kinga ya Rome/Geneve Convention on Diplomatic immuninity, kuwa kila aridhi ya ubalozi, ni sehemu ya nchi husika, yaani ofisi yetu London, ni aridhi ya Tanzania, ardhi ya nchi, haishikiki as attachment.
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.
JAMBO LA PILI NA MUHIMU NI KWAMBA NIMEPITIA HUKUMU YA ICC KWA MAPANA YAEK NA KIPENGLE KIMOJA AMBACHO WAAMUZI WA ICC WANAKISHIKIA BANGO NI KUWA DOWANS WALIPERFOM NA TANESCO WALIPOKEA UMEME WA DOWANS
HILI NI LA MUHIMU NA WATANZANIA WANATAKIWA KUJUA HATA KAMA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA SIO HALALI BADO UNAWISHWA KUWA HALALI KWA SABABU YA TANESCO KUPOKEA UMEME WA DOWANS KAMA TANESCO WASINGLIPOKEA UMEME WA DOWANS BASI MKATABA UNGEKUWA BATILI ,LAKINI AS LONG AS THE DOWANS PERFOMED AND TANESCO RECEIVED THOSE WHETHER ONE OR HUNDRED MEGAWATS ,MAANA YAKE NI KUWA KULIKUWA NA MKATABA HALALI NA TANESCO KUUVUNJA ILIKUWA NI BATILI
Cha kufanya
KWA USHAURI WANGU,SERIKALI IWALIPE DOWANS HIZO BILLION LAKINI SASA IRUDI KWA KINA KARAMAGI NA WENGINE WOTE WALIOHUSIKA KUIRUBUNI TANESCO WAKAMATWE,WAFILISIWE NA WAWEKWE NDANI HUU UWE MFANO.
angalizo
KAMA TANESCO NA SERIKALI YETU IKIKATAA KUWALIPA DOWANS,BALOZI ZETU NJE YA NCHI ZITAKUWA ATACHED NA MWISHO WA SIKU TUTAWALIPA KWA RIBA KUBWA SANA,
Watanzania,
MSIOGOPE KUWALIPA DOWANS BILION 94,HAO DOWANS WAMESHALIPWA ZAIDI YA BILIONI 172 MPAKA SASA KWA AJILI YA MITAMBO WALIYOINUNUA KWA SHILINGI BILIONI 60,NCHI HII INA HELA NYINGI SANA KAZI YETU TUNATAKIWA KUWADHIBITI WALE WANAOTUMIA FEDHA ZETU VIBAYA.
Umetumwa mjukuu wa fashisti Hitler wee! Usituchanganye hapa -- Karamagi alilazimisha mkataba uhamishwe, Tanesco walipinga kimaandishi na kutoa sababu yae -- kubwa ni kwamba Dowans ilikuwa kampuni ilionekana kampuni isiyojulikana -- yaani hewa.
Hivyo anayepaswa kulipa ni Karamagi -- na JK aliyekuwa anaangalia tu madudu yanatendeka.
Wananchi tugome.
Sisi kama watanzania hatudanganyiki, Kama umetumwa uje kushawishi watu, unapoteza muda. Kuna kesi imefunguliwa mahakama ya bongo, ngoja tusubiri hukumu.