dowans kosa lao ni nin? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dowans kosa lao ni nin?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kobello, Mar 1, 2011.

 1. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Heshima zenu,
  Mimi nipo huku kwa mjaluo(Obama),ni mbeba maboksi mashuhuri.Swali langu kwa wanajamii ni hili,"kwa nini tulivunja mkataba na Dowans?je,walileta mashine?ziliwaka?mliwalipa hela zao?mmepata faida gani mlipokatisha mkataba?watanzania tumepoteza nini kutokana na dowans?
  naomba majibu kwa kuwa huku hatuoni tv za bongo ila tunabishana tu kwenye vikao vya nyama choma! na naomba msamaha kama nitawaudhi baadhi ya wanajamii kwa kuwa mimi naipenda sana sisiemu!!
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Dowans hawakuwa na sifa hizi

  --------
  Aidha, imesisitizwa kuwa pamoja na udharura uliokuwepo sheria na taratibu za manunuzi ya umma vizingatiwe. Pia, wahakikishe kuwa mkataba wataoingia uwe ni wenye maslahi kwa taifa. Vile vile, watoa huduma wawe ni makampuni yanayofahamika na yenye sifa stahiki na kuaminika. - JK
  --------
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kaa huko huko endelea kubeba box ya huku tuachie wenyewe!
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kawaulize ccm.
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Okay!....sioni what's the big deal!ujanja mwingi mbele kiza.
   
 7. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kwa nini usiwaulize hao CCM walioingia nao mkataba??
  kama unajua hiyo Dowans ilitoka kwa Richmond basi kila kitu utajua
  zaidi ya hapo unapoteza tu mda na kitu tunachokiongea kila siku.
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kutuomba msamaha labda ungetuambia kwanza kwanini unaipenda sana ccm,.......
   
Loading...