Dowans-katiba

CITYBOY

Member
Nov 1, 2010
42
0
Bil185 kwa dowans ni uhujumu wa uchumi wetu.Kupandisha bei ya umeme inamaanisha maisha ya watu wakawaida yanakua magumu kutokana na uzalishaji wa bidhaa moja kua na gharama kubwa,hivyo kusababisha sokoni bidhaa kua na bei kali.Bei mpya ya umeme sisi walalahoi ndio tutalipa Dowans.Nchi hii bwana kwa kubadilisha mada ili tusahau lile lamsingi bwana.Habari sasa si Dowans bali imefunikwa na katiba ili kutuzuga.Katiba itafunikwa siku si nyingi na ishu mpya ya kijinga,tulivyo mazuzu tunaenda kokote tunakopelekwa.
 
Back
Top Bottom