MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Baada tu ya TANESCO kuanza mgao wao wa siku 9,ghafla kampuni ya kimarekani ikaibua na kununua mitambo ya Dowans.Huu ni mchezo wa kuigiza ambao hauhitaji elimu yoyote kuushtukia,TANESCO kama vile hawajui kuwa hii SYMBIONS ni DOWANS ileile wanajifanya kuchangamkia kuingia nayo mkataba!!Ifikie wakati serikali na TANESCO wajue kuwa watanzania ni kweli tuna shida ya umeme ILA SIO HUU WA DOWANS WALA PACHA WAKE SYMBION.Kwani hiyo mitambo ya Dowans ni lazima ifanye kazi Tanzania???Kwanini hao Dowans watoto wasiende kuuza umeme wao Msumbiji,Kongo na kwingineko ambako mitambo hiyo haijachafuka????kwanini iwe Tanzania.Hatuhitaji kupotezewa muda wa kulumbana katika hili,"Nyoka akivua gamba sumu yake huongezeka ukali maradufu"!!!Hawa symbion ni Dowans walelwale waliojivua gamba!!!Hatuutaki umeme wao,bora mtuache na giza kuliko kutuhadaa kwa mbinu nyepesi za mgao wa siku tisa halafu mnaichukua Dowans kiujanja ujanja!
Hapo kwenye RED ni yule mfuga majini wa pale magomenii mwembechai ndio anatoka ukoo wa wachawi.Hivi unaongea kwa kuwawakilisha kina nani. Wengine tunauhitaji sana umeme uwe wa Dowans au wa shetani. Mradi ni umeme na tuwe nao, mradi tu hawajavunja sheria za nchi.
Hizi ***** ***** za watu kama wewe ndio zinadhoofisha maendeleo ya hii nchi. Roho mbaya na husda ndio zinawasumbuwa watu kama wewe, nnauhakika uko katika okoo ambao una wachawi wengi kama wewe si mmoja wapo.
Kama wewe, walianzisha chokochoko, matokeo? mgao tukawa nao, na fedha juu tukamriwa tuwalipe Dowans na zitalipwa tukitaka tusitake, una nini wewe?
Hivi unaongea kwa kuwawakilisha kina nani. Wengine tunauhitaji sana umeme uwe wa Dowans au wa shetani. Mradi ni umeme na tuwe nao, mradi tu hawajavunja sheria za nchi.

Hapo kwenye RED ni yule mfuga majini wa pale magomenii mwembechai ndio anatoka ukoo wa wachawi.
Ninataarifa zako,nasubiri kuzithibitisha tu!!mgao wa siku 9 ambao leo zimebaki tatu hauwezi kutununulisha dowans
Hakuna jipya hapa ni umburukenge wa JK ambaye sasa ametuma vimburu wake kuja kutetea ujinga, utawaona tu kwa majina yao lakini amesahau miongo kadhaa aliposema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulla. Imekula kwake.
Hivi unaongea kwa kuwawakilisha kina nani. Wengine tunauhitaji sana umeme uwe wa Dowans au wa shetani. Mradi ni umeme na tuwe nao, mradi tu hawajavunja sheria za nchi.
Hizi ***** ***** za watu kama wewe ndio zinadhoofisha maendeleo ya hii nchi. Roho mbaya na husda ndio zinawasumbuwa watu kama wewe, nnauhakika uko katika okoo ambao una wachawi wengi kama wewe si mmoja wapo.
Kama wewe, walianzisha chokochoko, matokeo? mgao tukawa nao, na fedha juu tukamriwa tuwalipe Dowans na zitalipwa tukitaka tusitake, una nini wewe?
Nyie si tunawajuwa, Kikwete anawakera kwa Dini yake tu, hakuna kingine.
Imekula kwake? unanchekesha! Kikwete ndio Rais, Makamu wake ni Dr. Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar ni Dr. Mohamed Shein na makamu zake ni Seif Double.
Mawaziri Muhimu ni Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mustafa Mkulo, Jumanne Abdallah Maghembe, Hawa Abdul Rahman Ghasia (FFU), Omar Nundu, Haji Hussein Mpanda, Shukuru Jumanne Kawambwa. Upo hapo ulipo??
Uislamu siyo jina,ni kusali sala tano,kufunga ramadhani,kuhiji mecca(kama una uwezo),kutoa zaka na zaidi ya yote kushuhudia.Je,una uhakika kuwa hao uliowataja ni waislam?...au majina tu.Nyie si tunawajuwa, Kikwete anawakera kwa Dini yake tu, hakuna kingine.
Imekula kwake? unanchekesha! Kikwete ndio Rais, Makamu wake ni Dr. Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar ni Dr. Mohamed Shein na makamu zake ni Seif Double.
Mawaziri Muhimu ni Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mustafa Mkulo, Jumanne Abdallah Maghembe, Hawa Abdul Rahman Ghasia (FFU), Omar Nundu, Haji Hussein Mpanda, Shukuru Jumanne Kawambwa. Upo hapo ulipo??
Uislamu siyo jina,ni kusali sala tano,kufunga ramadhani,kuhiji mecca(kama una uwezo),kutoa zaka na zaidi ya yote kushuhudia.Je,una uhakika kuwa hao uliowataja ni waislam?...au majina tu.
Girl,you are so hateful!!....can you get your religion out of our civil rights?
whateva!.....what a waste of sperm!Its not my problem.
whateva!.....what a waste of sperm!