Maskini Mimi
Member
- Jun 25, 2008
- 43
- 2
I meant MINISTERS, apologies for the confusionwe dont have system at the BRELA to control registration of companies/issuance of complaince certificates! How comes a company with capital of US$ 100 can run such a huge project. There an issue of ovre trading here - finance guys can help us here.
lakini hawa wakuu wa wizara mbali mbali ni useless heads who keep on filling their stomachs and have fun at the cost of wa TZ.
It is a big shame to have such misters who LIVE AND LET OTHERS DIE
Yes the Problem is,Kampuni ni ya Bwana Mkubwa na Rafiki zake,sasa Bwana Mkubwa unategema atafanya nini ili apate pesa nyingi..kampuni iliyoanzishwa kwa mtaji wa dola 100 ikapewa mkataba wa kuleta umeme kwa nchi ya watu milioni 40? Kwa dola mia moja unaweza kunua hata kompyuta ya ofisi?
Taifa Hili Ni Letu Sote Hivyo Kila Mmoja Wetu Hana Budi Kusimama Imara Kupambana Na Uovu Na Wizi Kama Huu Kwani La Sivyo Kuna Siku Italipuka.
Hiki Kusema Eti Wamevinja Mkataba Ni Kiini Macho Kwani Mkataba Wa Tanesco Na Dowans Unaisha Mwezi August Sasa Wao Wanajifanya Wamevunja Mkataba .
Kuna Siku Tutadai Mali Zetu.
I dont think so! ila nini tunaweza kufanya collectively, with more strength iliviwezekane now now sio kupewa porojo? when as a citizen of this nation can we stand and say enough is enough? where is the forum for young and not so young energetic citizen can come together and discuss issues openly? until such a time, we will move slowly but surely, ila it will take time! Dowe have such time???Hivi ni kweli Watanzania wanashangilia?
kampuni Iliyoanzishwa Kwa Mtaji Wa Dola 100 Ikapewa Mkataba Wa Kuleta Umeme Kwa Nchi Ya Watu Milioni 40? Kwa Dola Mia Moja Unaweza Kunua Hata Kompyuta Ya Ofisi?
wao wale ugali sie tumwage mboga?