Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa?

Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa?

anatafuta umaarufu tu. Alizindua kampeni siku nane kabla ya uchaguzi.binafsi kwa sura simju ila door - vutwa hili jina nililisikia hv majuzi. Natamani nimtusi k***a huyu!
 
inawezekana mafisudi walitaka kumtumia kuhairisha uchaguzi, sasa yeye kawalia hela halafu kaamua kujitoa isije kuwa noma
 
wakuu tarifa ya habari ya saa 1 tbc1 dovutwa ameamua kumpa kura yake na wanachama wake kumpa jk sababu kukosewa jina lake kwenye form na mengine.
 
So what? Mwache apotelee mbali. Lakini kumbuka kuwa kura ni siri kwani kumpigia kura fisadi na wenzake hadi ujitangaze tbc1? Naye atakufa tu kama mnyama!
 
So what? Mwache apotelee mbali. Lakini kumbuka kuwa kura ni siri kwani kumpigia kura fisadi na wenzake hadi ujitangaze tbc1? Naye atakufa tu kama mnyama!

He is already famous anyway... Kuna mwana JF mmoja aliwahi kusema TUTAONA MENGI. Mimi nasema kesho ni mengi zaidi!
 
hahahahaha,haya alikua anataka kugombea nini sasa kama alijua hataki kuipinga ccm?

Njaaa tupu hapo
 
Alilazwa NKWEZI dispensary wakati anaumwa, CCM wakampeleka REGENCY, akapona, utabiri wa Sheikh Yahya ukashindwa kutimia....
 
Inaonekana alipewa msaada wa matibabu ili asife na uchaguzi kuahirishwa, maana Chama tawala kuwaambia habari ya kuahirisha hata kwa dakika moja ni msiba kwao. Ndio maana amewagawia kura ambazo asingezipata asilani!
 
Ana ushawishi wowote mbele ya wapiga kura? Mimi katika wagombea uraisi wa Muungano nimeona wenye ushawishi ni toka CCM, CUF, Chadema na NCCR, wengine ni magarasha tuu
 
Ni kwamba mgombea urais kwa tiketi ya UPDP,ametangaza kuwa kura zake zote(waliopanga kumpigia) ziende kwa mgombea wa ccm,JK.Sababu kukosewa jina lake kwenye fomu za uteuzi.CHANZO:taarifa ya tbc saa saba.
<br />
<br />
Tbc waliwahi kumuoji mamake, hajui kama mwanae anagombea urais. Na alikuwa apate kura 2 tu, yake na ya mkewe.
 
baada ya uchaguzi wajisajili kama wao ni ccm na tusiwasikie wakisema wapo upinzani. vyama vya upinzani vinajulikana lakini sio hivi.
 
in ma life i hvent meet or heard smeone who is dumpest lke the guy!let pray for him cos is a sickperson.
We jackass umelipwa sh ngpi na chichim bro?
 
Hata hivyo msihofu wadau,jamaa huyu alikuwa na kura yake pekee hio ndo kampa jk. Ni kawaida kuwa na malimbukeni kama hawa tuwapuuze tuendelee mbele.
 
Anazungumzia kura za mkewe na watoto wake maana hao ndio wangempa. Nani anamjua huyo!
 
Hivi vyama vya dar es salaam, visivyokuwa na matawi up country, halafu vinasimamisha wagombea u-Rais! 1995 wagombea u-Rais walipata ruzuku ya Serikali, na huenda hawa wakina Mzirai, Dovutwa, Rungwe etc. walidhani uhondo huo ungerudiwa 2010.

Dovutwa anadhani ni nani angempigia kura? Labda yeye mwenyewe na Mkewe. Na mkewe huenda hukubaliani naye, eti ampigie Kikwete!! Kwa sababu gani? Kwa kusababisha matibabu ya mumewe kuwa ya shida!!??
 
Wanajanvi, mi sikumuelewa kabisa huyu Dovutwa kujitoa kwenye ligi muda wa mwisho huku serikali imeharibu pesa kwa ajili ya huyu mgombea, kwa kuchapisha picha zake za matangazo na mengine mengi. Kwa nini mtu huyu asishitakiwe?
 
Back
Top Bottom