TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Unakuwa na haraka kama haja la tumbo kuuma? Unataka Lowassa akamatwe leo? Mchezo huu hauhitaji hasira.
Lazima umdharau sababu kagusa chanzo cha wewe kwenda chooni.Nimekudharau kama kinyesi wewe kima.....
Unataka facts kuhusu maagizo ktk utendaji wa serikali? Unafahamu majukumu na nguvu ya waziri au Rais ktk serikali? Unajua waziri ndio kiongozi wa Sera ktk wizara husika? Unafikiri kuna mtendaji anatenda/tekeleza kitu ambacho si matakwa ya mtunga Sera?
Una uelewa mdogo sana mithili ya kima rudi kule kwenye mijadala ya mapenzi ndo size yako... Unatia kinyaa!!
Hawalijui hilo.Richmond ndio Symbion IPO pale Ubungo inatafuna PESA tu mwambie Magu aifurushe.....
Watu wa ajabu kwelikweli, hakina UKAWA mwenye ujasiri wa kutaja RICHMOND.Unataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Maoni yako ni mazuri lakini nadhani itakuwa ikisimamiwa na watu wanaojua mambo mengi kwa undani zaidi kuliko mimi na wewe ambao vyanzo vyetu vya habari ni vile vinavyotupa habari za juu juu tu. Yapo mengi watakayoanza nayo, wape muda wafanya ya kwao.hiyo Mahakama ianze na hizi kesi 1- uuzaji nyumba za Serikali 2- zile bilion 251 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kulipa makandarasi Hewa 3- Ununuzi kivuko kibovu cha 1978 kwa bilion nane , 4- Ujenzi bomba la Gesi, 5- Uagizaji sukari nje 6- chenji ya Rada na chenji bunge la katiba, 6-Escrow ,7-zile bilion 1.7 za kampeni zilizopigwa na January makamba, 8- Ununuzi mabehewa mabovu, Lugumi nk , zipo nyingi sana mkimaliza hizo ndipo hiyo Mahakama italeta maana kinyume na hapo itakuwa Mahakama ya Kidikteta tu.
Nikiwa mwanajamiiforum mwenzako nimeona nikukumbushe juu ya kuweka akiba ya maneno. Usipende kumdharau sana mtu ambaye ana cheo cha amiri jeshi mkuu haswa kwa nchi kama yetu ambayo anakuwa na mamlaka makubwa. Hujui kesho ataamua kufanya nini.
Huyu ni mchapakazi, na vita ya kupambana na watu waliozoea neema za bure bure sio ndogo, popote pale duniani. Wanaharakati walifikiri wanashughulika na JK, wakajua kuwa wakiongea watachukuliwa kidiplomasia halafu mambo yatakuwa yameisha, kumbe hali haipo hivyo, huyu JPM kaja kivingine.Usisahau pia kuna maeneo hata amiri jeshi mkuu wa nchi kama yetu hana ubavu wa kutua. Kwa kuanzia, jiulize ilikuwaje JK akanywea kwa wauza ngada na majangili. Kama huyu akituthibitishia hakuna untouchables mbele yake basi tutakiri kuwa CCM si ileile. Bado sana kuona dalili hizo. Na kibaya zaidi tumeona dalili za mipasho kama ya JK zikianza. Hopefully, atapewa ushauri mzuri abakie kwenye kazi tu.
Daaaaa, haya ni majanga!sasa jf ndio imekuwa sawa na mlingotini Bagamoyo?Wamegundua short cut ya kupata uteuzi ni kujitoa ufahamu kwenye mitandao.
Hadi muda huu walio kwisha kamatwa ni 100% wote ni makada wa kutegemewa wa ccmUnakuwa na haraka kama haja la tumbo kuuma? Unataka Lowassa akamatwe leo? Mchezo huu hauhitaji hasira.
Ndio mmeanza kuisoma namba!!!mlidani wimbo huo ni kwa wanao ipinga ccm?Lazima umdharau sababu kagusa chanzo cha wewe kwenda chooni.
Unajuwaje wewe?Maoni yako ni mazuri lakini nadhani itakuwa ikisimamiwa na watu wanaojua mambo mengi kwa undani zaidi kuliko mimi na wewe ambao vyanzo vyetu vya habari ni vile vinavyotupa habari za juu juu tu. Yapo mengi watakayoanza nayo, wape muda wafanya ya kwao.
Naiona ccm ikibakia jina kwenye vitabu,hasa kwenye majengo ya uhuru media maana ukiwagusa mafisadi wa nchi hii ndio hao hao wafadhili wakuu wa ccm hivyo ccm watakosa mfadhili na kufa kifo cha kawaida kabisaHuyu ni mchapakazi, na vita ya kupambana na watu waliozoea neema za bure bure sio ndogo, popote pale duniani. Wanaharakati walifikiri wanashughulika na JK, wakajua kuwa wakiongea watachukuliwa kidiplomasia halafu mambo yatakuwa yameisha, kumbe hali haipo hivyo, huyu JPM kaja kivingine.
Tumpe muda july 2016 sio mbali kutoka leo.
mashaka yako yanatoka wapi ?HIVI hapo NZEGA unafanya kazi kweli wewe OKWI BOBAN SUNZU
Huyu ni mchapakazi, na vita ya kupambana na watu waliozoea neema za bure bure sio ndogo, popote pale duniani. Wanaharakati walifikiri wanashughulika na JK, wakajua kuwa wakiongea watachukuliwa kidiplomasia halafu mambo yatakuwa yameisha, kumbe hali haipo hivyo, huyu JPM kaja kivingine.
Tumpe muda july 2016 sio mbali kutoka leo.
Aliagiza waondolewe kwenye payroll.Wafanyakazi hewa BOT! Hakuonyesha makucha
inatosha hiyo kwa wezi wa mali ya umma? unadhani ana uwezo wa kumfunga mtu kama VICKY KAMATA?!!Aliagiza waondolewe kwenye payroll.
Wawili kati ya uliowapongeza tayari, wawili watafuatia na wawili ndio watasalimika.Unajua kabisa ufisadi ilikuwa na bado ni damu ya CCM.Magufuli amekiri hayo hadharani.Na CCM ni system,na system ndiyo imemuweka pale madarakani.
Utapopanda mtini kukata matawi,unawezaje kubaki salama unapokata tawi ulilokalia?Hiki ndicho chanzo cha double standards za Magufuli katika kutumbua majibu.
Hakuna upuuzi wa mtumishi wa umma unaofanywa bila kuwepo mwanasiasa wa CCM nyuma yake.Escrow tells,EPA reveals!
Nachotaka kusema ni kwamba,kwa double standard hizi,hakuna dhamira ya dhati katika kupambana na ufisadi.Watumishi wa umma wanatumbuliwa hadharani kwa tuhuma,wanasiasa wanatetewa kwa tuhuma na watu wameng'oa macho kusubiri mafanikio?
Hongera Kitwanga,Mwakyembe,January,Rithwan,Beno Ndulu,Likwelile nk