Double Standards katika vita ya Ufisadi

Double Standards katika vita ya Ufisadi

Mleta uzi kumbuka kuweka akiba ya maneno. Mahakama ya mafisadi inaanza kazi rasmi mwezi Julai mwaka huu.
hiyo Mahakama ianze na hizi kesi 1- uuzaji nyumba za Serikali 2- zile bilion 251 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kulipa makandarasi Hewa 3- Ununuzi kivuko kibovu cha 1978 kwa bilion nane , 4- Ujenzi bomba la Gesi, 5- Uagizaji sukari nje 6- chenji ya Rada na chenji bunge la katiba, 6-Escrow ,7-zile bilion 1.7 za kampeni zilizopigwa na January makamba, 8- Ununuzi mabehewa mabovu, Lugumi nk , zipo nyingi sana mkimaliza hizo ndipo hiyo Mahakama italeta maana kinyume na hapo itakuwa Mahakama ya Kidikteta tu.
 
Binafis naona kama alianza vizuri sana, sema pengine amepata washauri wabaya au wenye maslahi na hao wanaozungumziwa sana kwa ufisadi.....Kunyoosha nchi inataka moyo kweli...kwa kuwa hata JK first 6 months in office alifanya hivyo hivyo tu.....
Mshauri wake mkuu ni kitwanga na sasa ana JIPU hapa ndipo anaanza kuharibikiwa mengi.
 
Hata huyu mtumbua majipu mtamsahau tu. Kwani mungu alitupa kitu kusahau. Kama mmemsahau nabii SULEIMANI wa 2005 sembuse mtumbua majipu kwani kilicho sababisha mumsahau nabii SULEIMAN si ni njaa sasa njaa ya safari hii kiboko nahivyo WAMAREKANI na WAYUROPA wamewasusa mtaisoma namba hasa kijani huwa hamna uvumilivu sababu mnaoenda sana miofa ya dezo si mnakumbuka mbwembwe za nabii suleimani nae alianza na akina MAHALU waItaliano au mmesahau lakini mwisho wa siku marandu akamchomoa kwa utetezi wa BENJA
Wapi masamaki? Wapi Dau wa NSSF, wapi Mwakyembe wapi Yule polisi anayemiliki nyumba 40 ? Wapi meli ya samaki?
 
Kwa kuianzisha hiyo mahakama ndio utakuwa ni mwanzo wa kuitisha uchaguzi mkuu mwingine maana wabunge woote wa ccm wataburuzwa kwa pilato na kukosa akidi ya wabunge
Kamati zote za Bunge zitapelekwa Mahakamani mfano hiyo kamati inayochunguza JIPU la Lugumi ilistahili iwe Mahakamani tayari maana wamepokea Rushwa wanazuga kuchunguza tu Lakini matokeo wanayo kitambo, mechi imechezwa nje ya Uwanja matokeo ni Lugumi hana kosa na kitwanga hana mkataba na Lugumi, Hii ndiyo Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Jpm anavyowahadaa watanzania kuwa ataleta usawa kati ya walionacho na wasionacho,halafu usawa usionekane ndipo anguko la ccm hilo linakuja.Watu wameshakusanya vya kutosha sasa wanatumia tu,jpm inabid aelewe badala ya kuleta usawa hali ya walio chin inazid kuwa mbaya,cjaona mikakat itakayo watoa hawa watu wa chin walipo.Tumbua tu hata kila saa tumbua baba majipu,itakuwa wimbo wa taifa kutumbua watumish wa umma.Ipo siku uitumbue ccm irejeshe viwanja vya mpira wa miguu,nilichangia kirumba sasa ni mali ya ccm.Tumbua marais wastaafu tukuamin
Amemshindwa kitwanga, Mwakyembe na January ataweza hayo?
 
Kamati zote za Bunge zitapelekwa Mahakamani mfano hiyo kamati inayochunguza JIPU la Lugumi ilistahili iwe Mahakamani tayari maana wamepokea Rushwa wanazuga kuchunguza tu Lakini matokeo wanayo kitambo, mechi imechezwa nje ya Uwanja matokeo ni Lugumi hana kosa na kitwanga hana mkataba na Lugumi, Hii ndiyo Tanzania kila kitu kinawezekana.
Yap,kwa ccm lolote linawezekana ili mradi tu liwe linalinda maslahi ya chama,chama kwanza uzalendo baadae
 
hiyo Mahakama ianze na hizi kesi 1- uuzaji nyumba za Serikali 2- zile bilion 251 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kulipa makandarasi Hewa 3- Ununuzi kivuko kibovu cha 1978 kwa bilion nane , 4- Ujenzi bomba la Gesi, 5- Uagizaji sukari nje 6- chenji ya Rada na chenji bunge la katiba, 6-Escrow ,7-zile bilion 1.7 za kampeni zilizopigwa na January makamba, 8- Ununuzi mabehewa mabovu, Lugumi nk , zipo nyingi sana mkimaliza hizo ndipo hiyo Mahakama italeta maana kinyume na hapo itakuwa Mahakama ya Kidikteta tu.
mkuu,angalia watetezi ya serikali ya k.i.b.w.e.g.e wasije kukudaka!
 
Mzee wa Fursa January makamba sasa ndiyo mtanzania anayepiga pesa nyingi kupitia kitu kinaitwa kutumbua JIPU , kwa sasa anamiliki kikundi kikubwa cha Uchakachuaji mikataba na kamati za Ufundi toka misitu ya Amazoni, Congo, Mto Gambia , Msumbiji na home kombinenga. Anakula Tenda za wenye Majipu kwa kwenda Mbele mfano sasa Lugumi na kitwanga Timu yake wapo busy masaa 24 wanapiga mzigo huko wamepata Uzoefu kupitia kampeni iliyopita Juzi, wanemsaidia Membe juu ya wizi wa pesa za NIDA na wizi wa mali na Mabilion ya marehemu Gadafi, Dau kule NSSF, Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, walioifirisi ATC , ufisadi bomba la gesi, IPTL, escrow, Chenji ya Rada na chenji ya bunge la katiba, mikataba ya madini, utotoshaji Twiga nje ya Nchi, Ununuzi kivuko kibovu cha 1978 kwa billion 8 nk , kufa kufaana Magufuli anatumbua Majipu huku January yeye ananufaika kupitia humo humo kweli mjini shule.
 
Mleta mada na mnaomuunga mkono na wale wanaopinga juhudi za mhe rais kutekeleza wajibu wake kuwatumikia wananchi ni watu wa ajabu sana katika jamii yetu. Yapasa mdharauriwe na ikibidi mpigwe mawe mpaka kufa. Siku si nyingi mtasulubiwa tu na RAIA wenye uchungu na nchi yao.
 
Nilisikiaga kwamba kamati ya bunge wakati ule hawakupata opportunity ya kumhoji Lowassa. Kuna anayejua kama alihojiwa au la?
Kwani ingebadilisha kitu
 
hivi kwa nini mnaangaika na kufikiri? sisi kina gogo la shamba tulishawaambieni kwamba, Maku hana ubavu wa kuwatumbua viongozi wa ccm hata kama watakamatwa wakiua Tembo au wakijiuzia viwanda na nyumba kwa bei chee
 
Back
Top Bottom