Double Standards katika vita ya Ufisadi

Double Standards katika vita ya Ufisadi

Binafis naona kama alianza vizuri sana, sema pengine amepata washauri wabaya au wenye maslahi na hao wanaozungumziwa sana kwa ufisadi.....Kunyoosha nchi inataka moyo kweli...kwa kuwa hata JK first 6 months in office alifanya hivyo hivyo tu.....
Hata mimi napata wasiwasi na hii misafara ya wanaojiita wastaafu kwenda magogoni kila kukicha
 
Mleta uzi kumbuka kuweka akiba ya maneno. Mahakama ya mafisadi inaanza kazi rasmi mwezi Julai mwaka huu.
Kwa kuianzisha hiyo mahakama ndio utakuwa ni mwanzo wa kuitisha uchaguzi mkuu mwingine maana wabunge woote wa CCM wataburuzwa kwa pilato na kukosa akidi ya wabunge
 
Punguani niwewe ulietupia lipicha kama mnyama
Mkuu mbona unaongea kwa unyonge sana wamekutumbua nini maana nyie ndo mliokuwa mnatamba kuwa ni untouchable ,lakin pamja na hayo huwezi kufanya mambo ishirini kwa mkupuo tunaenda taratibu mkuu swala moja baada ya lingine wote hao wa RICHMONDI ,EPA ,sijui escrow tutawafikia tunasimamia swala moja baada ya lingine hatuwezi kubeba yote kwa pamoja na naamini baada ya hili la WATUMISHI HEWA na wewe tutakufikia kwa hiyo kaa mkao wa kula ,
Angalizo usianze kubadilisha hata za nyumba na viwanja maana tuna taarifa zako zote.
 
Unataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Ukiona hivo wala usiomize kichwa hao ni watu wa Lowasa wanaogopa hadi kutaja neno RICHMOND
 
Nikiwa mwanajamiiforum mwenzako nimeona nikukumbushe juu ya kuweka akiba ya maneno. Usipende kumdharau sana mtu ambaye ana cheo cha amiri jeshi mkuu haswa kwa nchi kama yetu ambayo anakuwa na mamlaka makubwa. Hujui kesho ataamua kufanya nini.
Naona umedhamilia kuingia kwenye land cruise ( kilimo kwanza ) ila umechelewa
 
Richmond. mnasema richmond mtaiweza wapi wakati LUGUMI anawatoa jasho richmond hamuiwezi labda muamue kuanzisha chama kingine au mkirudishe chama cha TANU cha jenga nchi na ASP hamna ubavu huo mngeshafutika toka 2005.
 
Tunacho budi ni kuangalia tulipo na tuwendapo habari ya Escrow,Richmond,EPA na mengine tuyache kisha kumbukwni JPM c mungu adi aweke usawa kwasababu ata mungu ajaweka usawa kuna matajir na masikini kwaiyo kwangu mm JPM kafanya mambo makubwa at a edu kwa ninavomjua awezi fanya ivo kwaiyo myonge myongeni lakini aki yake mpeni kajitaidi sana kwa alipofikia
 
Huyo edu unamaanisha rais wetu tuliemchagua 25/10/2015 EDWARD LOWASSA? Sijakusoma mkuu kama ni huyo hakufanikiwa kufanya kazi kwa sababu uliona mwenyewe mapolisi hawakutaka na ndo maana hakuapishwa na hakaapishwa magu ambae ndo rais kwa sasa. Kwahiyo umejuaje na kumlinganisha mtu aliyoko uongozini na asiekuepo wewe kuandika tu hujui hiyo elimu unayosema unavyomjua edo umeipata chuo kipi kinachopokea watu wapiga ramli kama wewe
 
Unajua kabisa ufisadi ilikuwa na bado ni damu ya CCM.Magufuli amekiri hayo hadharani.Na CCM ni system,na system ndiyo imemuweka pale madarakani.

Utapopanda mtini kukata matawi,unawezaje kubaki salama unapokata tawi ulilokalia?Hiki ndicho chanzo cha double standards za Magufuli katika kutumbua majibu.

Hakuna upuuzi wa mtumishi wa umma unaofanywa bila kuwepo mwanasiasa wa CCM nyuma yake.Escrow tells,EPA reveals!

Nachotaka kusema ni kwamba,kwa double standard hizi,hakuna dhamira ya dhati katika kupambana na ufisadi.Watumishi wa umma wanatumbuliwa hadharani kwa tuhuma,wanasiasa wanatetewa kwa tuhuma na watu wameng'oa macho kusubiri mafanikio?

Hongera Kitwanga,Mwakyembe,January,Rithwan,Beno Ndulu,Likwelile nk

TusubirI kitengo cha mahakama ya mafisadi watavutana mashati mpaka Segerea na ukonga.
 
Double standard ni kumkaribisha mliyemuita fisadi kugombea urais kupitia chama chenu
Nilisikiaga kwamba kamati ya bunge wakati ule hawakupata opportunity ya kumhoji Lowassa. Kuna anayejua kama alihojiwa au la?
 
Nilisikiaga kwamba kamati ya bunge wakati ule hawakupata opportunity ya kumhoji Lowassa. Kuna anayejua kama alihojiwa au la?
alihukumia kihuni huni tu hakukuwa na kamati za kumhoji yeye bali ziliundwa kamati za kumhukumu moja kwa moja maana walijua wakimhoji angemhoji Mmiliki wa Richmond ingekuwa Aibu kubwa.
 
Lete ushahidi(Fact).. Vinginevyo yatabaki kua maoni TU.. Mimi tukio ninalo kumbuka kua memo ilitoka juu.. Ni ishu ya Richmond.. Lowasa aliwapa maagizo watu wa chini.. Watekeleze mkataba wa Richmond ata kama unamapungufu
Kikwete alienda marekani kuonana na hao Richmond aliporejea akatangazia umma kuwa amepata kampuni ya umeme inayoitwa Richmond, Sasa Lowasa yeye alikuwa akitekeleza maagizo ya Mmiliki wa Richmond yaani Kikwete.
 
Back
Top Bottom