OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,816
- 117,356
Unajua kabisa ufisadi ilikuwa na bado ni damu ya CCM.Magufuli amekiri hayo hadharani.Na CCM ni system,na system ndiyo imemuweka pale madarakani.
Utapopanda mtini kukata matawi,unawezaje kubaki salama unapokata tawi ulilokalia?Hiki ndicho chanzo cha double standards za Magufuli katika kutumbua majibu.
Hakuna upuuzi wa mtumishi wa umma unaofanywa bila kuwepo mwanasiasa wa CCM nyuma yake.Escrow tells,EPA reveals!
Nachotaka kusema ni kwamba,kwa double standard hizi,hakuna dhamira ya dhati katika kupambana na ufisadi.Watumishi wa umma wanatumbuliwa hadharani kwa tuhuma,wanasiasa wanatetewa kwa tuhuma na watu wameng'oa macho kusubiri mafanikio?
Hongera Kitwanga,Mwakyembe,January,Rithwan,Beno Ndulu,Likwelile nk