Double deka zinauzwa

Double deka zinauzwa

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,844
Reaction score
52,251
Vitanda ni vipya kabisa
Havijatumika kwani mradi umeishia njiani

Ukubwa ni 3.5*6
Vina magodoro yake mawili

Au unaweza ukanunua bila magodoro bei ni 200,000

Vikiwa na magodoro bei ni 300,000

Viko Chamazi
Viko vitano.

0755155782 utimiziwe hitaji lako.
 
Mkuu picha
 
Jaribu tena Mkuu!
IMG-20171108-WA0031.jpg
 
Vitanda ni vipya kabisa
Havijatumika kwani mradi umeishia njiani

Ukubwa ni 3.5*6
Vina magodoro yake mawili

Au unaweza ukanunua bila magodoro bei ni 200,000

Vikiwa na magodoro bei ni 300,000

Viko Chamazi
Viko vitano.

0755155782 utimiziwe hitaji lako.
IMG-20171104-WA0033.jpg
IMG-20171104-WA0034.jpg
 
Eleza vizuri vimetoka wapi Mkuu maana isije kuwa vilikuwa mali ya shule au vya camp ya wauaji wa Kibiti ikaleta kizaazaa kwa mnunuzi
 
Eleza vizuri vimetoka wapi Mkuu maana isije kuwa vilikuwa mali ya shule au vya camp ya wauaji wa Kibiti ikaleta kizaazaa kwa mnunuzi
Wauaji wa Kibiti walikaa camp?
Anyway
Ni mali za mtu binafsi alitaka kuanzisha kihostel kidogo ila mradi umefeli kutokana na sababu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom