Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Mwananchi Communication(wazalishaji wa magazeti ya mwananchi,The citizen na mwanasports) yatangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi kutokana na kusinyaa kwa soko!.(chanzo:Azam news).
Note!
Hali ya sekta binafsi ni ngumu kwa sasa!nyingi zipo kimya ila zina hali ngumu sana,zinapunguza wafanyakazi kimya kimya,zinawakopa wafanyakazi zaidi hata ya miezi mitano,watumishi wengi sekta binafsi wanakufa na tai shingoni!.
Serikali ikae na sekta binafsi,zipo katika wakati mgumu,izijenge,wataalamu watumie misingi ya PPP kuinusuru sekta binafsi!.