Dotto Bulendu: Haya ndio maisha ya Tundu Lissu ya Mikikimikiki Sekta ya Madini

Dotto sio mtumishi Wa Star TV Bali ni Wa chuo kikuu SAUT akiwa kama mkurugenzi Wa SAUT FM na mhadhiri Wa chuo.
Kile kipindi chake Star ni muundaaji tuu
Kweli kabisa. Bulendu ni mmoja ya waandishi na wanahabari wazuri sana. Hata ukisikiliza mijadala anayoiendesha utaona wazi ni mtu ambaye yuko educated, and he stands for truth. Siyo makinikia kama akina Jerry Muro.
 
Kwako hiyo approach ya Lissu ni sahihi na yeye Lissu hapendi/hataki kiki? Mtu anaye hallucinate urais???!!!

Mchina wa jF.
Na washawaha!

Si kweli kwamba Lissu ameigeuka serikali katika kupambana na wizi wa rasilimali madini. Mtazamo wake ni approach inayotumika. Yeye anasema utaratibu ufuatwe, tahadhari zichukuliwe katika kuvunja mikataba, Rais asikurupuke kama ambavyo imekuwa ni kawaida yake.
Mikataba ilishaingiwa na watangulizi wake, makosa yalishafanyika, na mikataba hiyo ni ya kimataifa, mtu hafai kukurupuka tu kama anavotumbua watu hapa nchini. Lissu alitahadharisha kuhusu MIGA kwamba tusipokuwa makini hata kile kidogo tunachopigania tutakikosa na kuishia kushtakiwa na kulipishwa faini za kufa mtu just because of wrong approach. Hiyo ndio concern ya Lissu na wala sio kweli kwamba yuko side ya wezi wa madini yetu, au kwamba yeye ni msaliti.
Sasa kwa sababu mwenye nyumba tuliyenaye hashauriki, na anafikiri anajua kila kitu, na vile ni mpenda kiki basi kazi yake ni kuwanyamazisha woooooote wanaomshauri kinyume na mawazo yake. Safari yetu ni ndefu sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilimfahamu Lissu kabla hajaingia bungeni mara ya kwanza kukutana nae ilikuwa mwaka 2006,wakati huo Lissu alikuwa mpambanaji mkubwa na makampuni makubwa ya uwekezaji kwenye sekta ya madini nchini Tanzania!.
Sasa Lisu amegeuka kuwa mtetezi wa hayo makampuni ya uwekezaji, uzalendo umeisha
 
Unafiki at work.... Ndo sifa ya Watz

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa imani yangu unafiki ni dhambi. Ndio maana na utumia huu mfano wa Lissu ambao ni hai ili watu wengine wasije wakanaswa na hawa wanasiasa wa laghai walio tuaminisha enzi hizo kuupinga ufisadi mwisho wa siku wakabadili gia angani bila hata kutushirikisha na kuamua kupamba ufisadi kwa majina mengine kemkem. Infact Lissu anavuna alichopanda.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
 
Nadhani katika upelelezi, hatuna budi kuanzia kwako maana inaonekana unayo taarifa nzima ya mkasa huu. Usitutie hasira bure kwa hii damu iso hatia. Shwain, wewe!
[HASHTAG]#prayfortundulissu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tunatakakatibampya[/HASHTAG]

Upelelezi iko mitazamo mingi mimi ninge wa shauri badala ya kuanzia kwangu muanzie kwa hawa wa makanikia maana baada ya kuanzisha mashambulizi kwa kutumia njia ya kukamata ndege labda wamengoze mashambuluzi kwa kutumia mbinu hii ya kutaka kuichafua serikali.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
 
Je hao waliosaini hiyo mikataba iliyolitia taifa hasara mkulu wa sasa ikipita mbele ya macho yake akiwa kimya kabisa, mmeagiza wapigwe risasi ngapi?

Pata jibu la swali lako kwenye katiba ya JMT.

Mchina wa jF.
Na washawsha!
 
He was born in Tz purposefully! The end will justify the means, let's wait and see!
 
Unafiki wa aina yako ndio umelifikisha hili taifa hapa lilipo. Bahati mbaya mimi sio mnafiki sasa wewe unanipa ushauri wa kufanya kama mchawi. Hawa tuliaanza kuwa ambia madhara ya kubadili gia angani hawa kuelewa. Hivi unajua vizazi hata vya Iddi Amini wanaendesha maisha yao hadi sasa?

Mchina wa jF.
Na washawasha!


Alitusaidia kujua kodi zetu inavyotumika ovyo wagonjwa hawana sawa sisi tunalipa madeni njaa. Kwa vile wewe ni mnufaika kwenye system unaweza kusema lolote ili kupalilia unga wako. Ila mimi kwenye maovu kama haya ningesubiri hali ya hewa mbaya ipite nisinge sema yote maana hata mchawi kwenye msiba huwa anatamani kupiga vigelegele lakini anashindwa. Hata kama unalipiwa kiasi gani ni bora ungekaa kimya maandishi yako yatakuhukumu wewe na vizazi chako vyote. Na hata ukikasirika haitakusaidia kitu. Jaribu kuwa binadamu kwa muda mfupi haikupunguzii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaweza kuniambia specifically na nufaika na nini hasa? Kama wewe unalipwa kwa kuandika hapa basi sio hivyo kwa wengine.

Ila Lissu amekuwa fundisho kwa wanasiasa wengine wanao tumia mgongo wa kujidai watetezi wa wanyonge kumbe moyoni kilicho wajaa ni kutafuta madaraka ya juu zaidi kwa kujinufaisha yeye kisiasa na pengine chama chake. Kwa kweli sioni sababu nyingine ya approach aliyo amua kuifuata Lissu zaidi ya hii.

Mchina wa jF.
Na washawasha!


Ni kweli lakini njia alivyo tumia siyo alitakiwa kufuata sheria siyo ubabe. Hivyo ndiyo wanacho pingana. Udipofuata sheria madhara yake ni mkubwa sana. Kwa ufupi ukurupukaji wa raisi wetu utatuacha pabaya. Kama kwenye mikataba iliyopita tulikuwa tunapata 4% kwenye ukurupukaji maanayake kuvuja mkataba bila kufuata sheria kwanza ile 4%imepotea halafu mtu aliyefunga mkataba ndiyo ana kulipa aliyemvunjia. Kama olibaki miaka 5 wewe ndiyo atalipa huyo uliyemvunjia mkataba usipo mlipa ana kushitaki sasa huko utalipa zaidi. Hicho hata Mimi nisingeunga mkono. Hata wewe huungi mkono ila kwasababu ni mnufaika lazima mjitahidi kuponda hujali watu wana athirika vipi kwa sababu wewe unapata unacho kitaka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi kuku wangu mmoja kafa nimesikitika ndio ni shindwe kusikita kufa jwa binadamu mwenzangu acha huku kuumizwa na ndio tubajiuliza haku yaona hayo. Ila haya uliyo yaongea hapa yatoka moyoni mwako kamwe usijaribu kuyahamishia kwangu.

Mchina wa jF.
Na washawasha!


Nadhani wewe ukisikia Mungu amemuita leo unafanya sherehe kubwa maana alikuwa anataka kukupotezea uuaji wako. Hakuna mtu utaishi milele na pia siyo wewe wala hiyo Raisi wako mtaishi milele hujui siku wala saa kwani unaweza kulala usiamke au unapata ajali ukavunjika vunjika hujafa hujaumbika. Tuongee lakini tuwe na hofu ya Mungu tusijisahau kupita kiasi hatuta ishi milele. Yeye ameshutiwa je Mimi na wewe itakuwaje tujitafakari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako hiyo approach ya Lissu ni sahihi na yeye Lissu hapendi/hataki kiki? Mtu anaye hallucinate urais???!!!

Mchina wa jF.
Na washawaha!
Wewe unaonaje? Ni sahihi au si sahihi? Upange nyumba kwa mwaka mzima baada ya miezi 4 mwenye nyumba aje kitemi anakuondoa, unaonaje ni utaratibu huo? Anyway you have raised a very poor argument, have a good day..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa imani yangu unafiki ni dhambi. Ndio maana na utumia huu mfano wa Lissu ambao ni hai ili watu wengine wasije wakanaswa na hawa wanasiasa wa laghai walio tuaminisha enzi hizo kuupinga ufisadi mwisho wa siku wakabadili gia angani bila hata kutushirikisha na kuamua kupamba ufisadi kwa majina mengine kemkem. Infact Lissu anavuna alichopanda.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
Unamaanisha risasi mwilini mwake ni matunda, alipanda mbegu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho ngumu kaka,paka mwanafunzi!! Kama unaweza kuhalarisha tendo hili kisa tu mtu katoa ushauri jinsi ya kupambana mnakasirika hadi kutaka kutoa roho?
Mlaaniwe ninyi na vizazi vyenu.

Akili fupi hizi nimehalalisha au nimesema madhaifu ya Lissu katika approach yake.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
 
dotto bulendu bado yupo star tv?kama jibu ni ndio kesho asubuhi anaweza kukutana na dismisal letter kutoka kwa yule mkereketwa wa ccm na boss wa kituo.
Uzuri wake Doto ni educated, hata akimwagwa leo kesho anabebwa na Azam waliko staff wenzake wa Star TV akina Nyamwihula!
 
Kumbe hata hukunielewa rudia kusoma vizuri. Kuzuia makanikia kwa kudanganya uzito kwa mfano kuna fanana vipi na huu mfano wako wa mpangaji. Lakini hapohapo jiulize ni kwa faida ya nani Lissu kutoka hadharani kupayuka haya madhaifu. Uko vitani halamfu mmoja kati ya watu wako anatafuta media na kuwa ambia adui vifaru vyetu havina mafuta. Kwa nini kama nia yake ni nzuri na hutumiwi na adui hasemi tena kwa siri jamani mafuta haya hapa tuendeleze mapambano, mbaya zaidi anamshambulia kwa kumkejeli amiri wa vita. Waulize waislamu umuhimu wa amiri katika jihadi.

Mchina wa jF.
Na washawasha!

Wewe unaonaje? Ni sahihi au si sahihi? Upange nyumba kwa mwaka mzima baada ya miezi 4 mwenye nyumba aje kitemi anakuondoa, unaonaje ni utaratibu huo? Anyway you have raised a very poor argument, have a good day..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom