Mwalimu Nyerere Alisema!!!
Aliposema Serikali Ya Mwalimu Nimeiweka Mfukoni, Nikajiuliza Ana Mfuko Mpana Kiasi Gani.
Nikajua Anatoa Rushwa, Nikamtupa Ndani.
[emoji871][emoji871][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji1][emoji1]
Mbatia alimzushia Lyatonga Mrema kuwa ana " ngoma"Nakumbuka mzee Lyatonga alilalamika sana hadi kibaragashia kikadondoka mbele ya Jiwe
In God we Trust
Chadema na Mbatia ni wamoja!Mbatia asitafute kisingizio yeye ni msaliti tu,uzuri chadema wakishasema we msaliti hata uje na hoja zipi huaminiki tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la msingi sana hilo, na mimi nilikuwa namuamini sana, kumbe ni bozongo tu, ni kweli kwamba amehongwa ndio maana anaona hasira kuitwa msaliti, ukweli unauma sana, aendelee kuitumikia ccm ataona mwisho wakeMbatia ni Shushushu mbobezi na wanaccm wengi wanamjua
Mpinzani gani ilifikia kuteuliwa na raisi wa awamu ya nne
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana dah na alimwambia unatafuta laana isiyo isha maishani mwako unanichukulia jimbo langu iyo laana aitokuisha aiseeeMbatia anaandamwa na laana ya mzee Augustino Lyatonga Mrema!
Kwa hiyo wachawi wote wa gambosh wamepewa makazi magogoni haha aisee!!Mchaga yule kwisha fikia bei tiyari. Anaamini kuchukua mzigo wa kutosha kustaafu kwa hishima ya ngawira huyo. Kwa usemi wake, tiyari kishajitangaza kuwa ni msaliti. Hata kama hatazisema, nadhani alipokunywa ile juisi pale white house, aliipewa ili atiririke siri zote.
Adui hana shida tena ya kuwapiku UKAWA kwani walimwaga siri zote mbele yake. Njaa ni mbaya sana sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana dah na alimwambia unatafuta laana isiyo isha maishani mwako unanichukulia jimbo langu iyo laana aitokuisha aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app