PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani,

Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.

Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.

Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Za ndani kabisa ni ule unyarwanda wake ndo maana katemwa nje maana hata mdogo wake alikatwa kwenye ubunge hivyo hivyo
 
Hii nchi ukiwa na akili timamu utaishi kwa shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…