Doto Bulendu ulistahili tuzo

Doto Bulendu ulistahili tuzo

HONGERA sana mwandishi wa habari Doto Bulendu kwa kutunikiwa tuzo ya mwandishi mahiri wa habari Tanzania kutoka MCT jana usiku
hakika huyu jamaa anajua na ni mfano kwa waandishi wa habari Tanzania

Kumbe Ndiyo Maana Hata Kipindi Leo Kilichelewa Kuanza Na Hata Kilipoanza Saa 2 Kamili Hakikuwa Na Mvuto Kama Akiwepo Mwenyewe Dotto Bulendu. Kuhusu Yeye Kupewa TUZO Hiyo Sina Mashaka Nayo Kwani Namfahamu Tokea Alipokuwa Amenitangulia Madarasa Mawili SAUT Kuwa Ni Mahiri Sana Na Mno Ktk Medani Ya Utangazaji Na Namwona Muda Si Mrefu Akielekea CNN au BBC au SKY News au DW au I24. Lakini Hata Hivyo HUWEZI KUSOMA CHUO KIKUU BORA KWA SASA NCHINI TANZANIA Cha SAUT Halafu Usiwe Competent. Hakuna Kama SAUT Nchini Tanzania Kwa Sasa Na Wewe Ambaye Hujapitia SAUT Hakika UMEKOSA Vingi Mno. I am Proud Of SAUT Na Nawapenda Sana Wahadhiri Wangu Wote Walionipika Na Wanaomalizia Kunipika Bongo Campus Na Nawaahidi Hata PhD Yangu Nitaifanyia Hapo Hapo SAUT Labda Nife Leo. Kaka Dotto Bulendu Hongera Sana Na Sisi Wana SAUT Wote Tumefurahi Na Tunakuombea Mafanikio Mengi Zaidi............. " We Build The City Of God ". Mtakaonuna PASUKENI!!!!!!!
 
Kiukweli, huwa sichangii jamii forum hoja zozote zile, maana naona hata kulog in ni shida, kutokana na mada zinazopatikana hapa jukwaa la low thinker, ila kwa mada hii, jamaa namkubali sana, kwanza, mi nilipitia kwenye chombo chake cha habari, ni mwalimu mzuri na ni kiongozi mzuri. Na pia nimemkubali sana pale alipofuatilia inshu ya wakazi wa migodini, nakuonyesha matatizo wanayoyapata.
 
Hongera dotto bulendu, hakika unastahili. Nikiangalia kazi zako, you are so professional, umesaidia kuipa heshima star TV kwasababu haupo bias, ni chombo cha Mwenyekiti wa ccm lakini kinajitahidi kufuata weledi. Hongera sana, ila washauri na wenzako, hasa yule mzee wa dar, kuna siku aliharibu mahojiano alikuwepo lissu, makonda na bwana mmoja hivi. Hatutaki watu wa hivyo
 
Kijana si mwoga na mganga njaa (msaka bahasha ya khaki). Yupo vizuri kiukweli ni muwazi na mkweli. Ukiharibu anakurekebisha. Jerry Muro alijaribu kumwigiza lakini alizidiwa na njaa ikamponza. SAUT na vyuo vingine tuzalishieni kina Dotto wengi ili wamfunike yule naibu waziri wa habari.
 
Mimi napenda sana staili yake ya maswali anapomsaili mgeni kwenye studio. Staili yake ya maswali na mkao wake vinafanana sana na mtangazaji wa bbc aitwaye Steven Sucker kwenye kipindi cha HardTalk.
 
Bravo keep it up, hawa vibaraka wengine wapenda vibahasha oneni aibu, mawingu mpooo! Hii ndo maana ya wakisema yes, sio ujinga wenu mnaotupigia kelele kila kukicha. Hopless
 
Kumbe Ndiyo Maana Hata Kipindi Leo Kilichelewa Kuanza Na Hata Kilipoanza Saa 2 Kamili Hakikuwa Na Mvuto Kama Akiwepo Mwenyewe Dotto Bulendu. Kuhusu Yeye Kupewa TUZO Hiyo Sina Mashaka Nayo Kwani Namfahamu Tokea Alipokuwa Amenitangulia Madarasa Mawili SAUT Kuwa Ni Mahiri Sana Na Mno Ktk Medani Ya Utangazaji Na Namwona Muda Si Mrefu Akielekea CNN au BBC au SKY News au DW au I24. Lakini Hata Hivyo HUWEZI KUSOMA CHUO KIKUU BORA KWA SASA NCHINI TANZANIA Cha SAUT Halafu Usiwe Competent. Hakuna Kama SAUT Nchini Tanzania Kwa Sasa Na Wewe Ambaye Hujapitia SAUT Hakika UMEKOSA Vingi Mno. I am Proud Of SAUT Na Nawapenda Sana Wahadhiri Wangu Wote Walionipika Na Wanaomalizia Kunipika Bongo Campus Na Nawaahidi Hata PhD Yangu Nitaifanyia Hapo Hapo SAUT Labda Nife Leo. Kaka Dotto Bulendu Hongera Sana Na Sisi Wana SAUT Wote Tumefurahi Na Tunakuombea Mafanikio Mengi Zaidi............. " We Build The City Of God ". Mtakaonuna PASUKENI!!!!!!!
Mbona unaandika kwa mashaka mashaka hivi?
 
Nsia swai alishuti muvi kali sana ya ngono hapo SAUT! Na bado muvi kibao na kali za ngono zinaendelea kuzalishwa hapo na nyota wenu wa kila aina!! dah kweli bonge la univasiti hilo
 
Eti SAUT inazidi vyuo vyote Tz!! AJABU LA 8 LA DUNIA HILI sasa!
Kwa ngono hakina mpinzani hapa Tz, si unakumbuka kuna binti aliwahi kurekodi mkanda hapo chuoni na ukasambazwa kwenye mitandao?
 
Kaka Bulendu alistahili kabisa 1429976237414.jpg
 
Nsia swai alishuti muvi kali sana ya ngono hapo SAUT! Na bado muvi kibao na kali za ngono zinaendelea kuzalishwa hapo na nyota wenu wa kila aina!! dah kweli bonge la univasiti hilo

Tumia akili. Chuo gani kwa sasa hakina hizo movie? Tatzo ni kusambaa tu.

Huyo ni mtu binafsi si chuo.
 
Mimi namkubali sana na huwa nakisubiriaga sana kipindi cha jicho letu ndani ya habari ndani star TV jmoc . Hongera Dotto, keep it up
 
Dotto ni jembe wewee, product ya Mattaba, Dr.Mfumbusa, Late Nkwabi, Mkosamali, Dr.Aidan Msafir .....na wengine wengi sasa angalia hivo vichwa hapo juu vilivyo mpika jamaa, mwenyewe uta bro.
 
Nsia swai alishuti muvi kali sana ya ngono hapo SAUT! Na bado muvi kibao na kali za ngono zinaendelea kuzalishwa hapo na nyota wenu wa kila aina!! dah kweli bonge la univasiti hilo

Wa UDSM, MZUMBE, TUMAINI Na Kwingineko Hawafanyi Hivyo? Hata Dada Zako Tu Na Wao Wanashuti Picha Za Uchi Mbona Husemi? Huyo Huyo Nsia Swai Nimesoma Nae Darasa Moja BAMC 2006 - 2009 Na Kilichomtokea Dada Yetu Ni Bahati Mbaya Sana Kwani Zile Picha Alipigwa Na Boyfriend Wake Na Alipopeleka Simu Yake Kwa Fundi Simu Pale Mwanza Mjini Kwa Fundi Opposite Na Mwanza Hotel Ndipo Yule Fundi Akazinyonya Kisha Akaomba Mchezo Kwa Nsia Na Yeye Akamtolea Mbavuni Ndipo Huyo Fundi Akaamua Kumkomoa Na Kuzituma BAMAGA Kituoni Kwa Nyuma Ili Zianze Kutolewa Na Kumchafua Dada Yetu. Ninachofurahi Tu Ni Kwamba Hata Darasani Nsia Swai Alikuwa Very Brilliant Na Sasa Ni Mjasiriamali Mkubwa Tu Mwenye Kampuni Kubwa Hapa Tanzania Akishirikiana Na Mdogo Wake Na Inafanya Vizuri Kibiashara Na Sina Uhakika Kama Wewe Unayempiga Majungu Kama Una Hata Hela Ya Kula Usiku Huu Wa Leo. Utaishia Hivyo Hivyo Na Mawazo Yako Ya Kimasikini Na Chuki. Kwahiyo Hapo Suala Ni Nsia au SAUT? Nikiwadharau Mnalalamika.
 
Back
Top Bottom