GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,038
- 126,551
Mlipokosa UDSM na MZUMBE Ndio mkakimbilia huko SAUT.huko mlipelekwa tu kwa kuwa uwezo wa kuingia UDSM na MZUMBE hamkua nao..hili hata baba yako analijua.
Vyuo Wanafunzi Mmejazana Utadhani TAKATAKA Za Dampo La Pugu Halafu Wahadhiri Wenu Wanafundisha Kwa Vile Vipaza Sauti Vya Wauza Mitumba Pale MCHIKICHINI Ilala. Kama Ndiyo Hivi Basi Ni Kweli Hivyo Vyuo Vyako Tajwa Vinastahili Kuwa Bora!