donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Ni vipi waungwana? Natumaini wakuu wote mu wazima mkiwa mmetulia kabisa majumbani(perhaps wakuu vijana wanaelekea leaders kumwona luda). Ni mda umepita kidogo nilisoma gazeti moja hivi likimnukuu dotnata akisema anataka kujiunga na freemasonry,je kuna mkuu yeyote mwenye update ya hili swala? Ivi pia ningependa kujua ni kwanini watu maaruf ndio wanapenda kujiunga na hao waabudu mashetani? Naomba mwongozo tafahali!