avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,863
- 15,983
1. Ukizaliwa eneo ambalo asilimia kubwa ni dini moja,mpaka mila na desturi zinakuwa zimechanganywa na taratibu hizo , na hata mafunzo ya watoto wadongo hupewa propaganda kuwa dini yao ndio bora zaidi ya dini nyingine na huambiwa watu wa dini yake ndio hutenda mema tuu na wa dini nyingine hutenda mabaya ndio maana unakuta mkristu akimwona mwislamu katenda mema anamwambia uu samaria mwema (very rare) na mwislamu anakwambia umetenda uislam na tena ana kwamba bora ubadili kabisa (very common)
2.Sasa umeshakuwa mkubwa ,umesoma, umetembea umejifunza mila desturi na tabia za watu,umejifunza kuheshimu diversity za watu hata kama yupo mmoja kwenye kundi usimkwaze..bado zile propaganda ulizolishwa utotoni kwenye Sunday school au kwenye madras bado nazo kichwani?bado upo kwenye kundi la watu unaleta salamu zako za kidini eti inalazimisha kuzi justify kuwa ni nzuri?
Upo kwenye chombo cha habari kucha kutwa ni kubwabwaja aya za dini yako au lugha mnayotumia kwenye dini yako??
Umetembea umetoka kwenye jijini au mji ambao wote ni imani moja na hata salamu ni za kidini huwezi kubadilisha uongo wako kuwa upo sehemu tofauti na upo na watu mchanganyiko?Hata Akira mtu mmoja kwenye jijini chenu mwenye imani tofauti heshimuni imani yake iwe ni juu yake kuamua yeye kutumia salamu zenu na sii kumsalimia kwa dini yako
Wewe Mangi mchango anahamia pwani ..sawa ninyi kwa ninyi mwasalimiana hivyo lakini si mnajua ana imani tofauti ?kwa mini mumkwaze kisa ni tamaduni zetu. Mbona ukienda kwao wakishakuona na kanzu hawawezi kukusalimia Bwana Yesu asifiwe wanakusalimia ana kiswahili ama kwa imani yako wewe ijapokuwa wao ni dini moja na dini ni sehemu ya mila zao?