Dosari za mhamasishaji wa Yanga

Dosari za mhamasishaji wa Yanga

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
Mimi ni yanga damu lakini naona upungufu mkubwa kwa mhamasishaji wetu, Antonio Nugaz.

1. Kwanza ana sauti nzuri sana lakini anaitumia chini ya kiwango, hana facts kabisa ila anapiga porojo tu.

2. Yeye ni msomi wa kuruani, lakini anapotumia aya za kuruani kuitangaza Ynga akumbuke kuwa wanayanga wote sio Waislamu

3. Anashindana na Haji Manara, akumbuke kuwa manara ana talent yake, ambayo kapewa na Mungu, sasa akitaka kushindana nae bila ya kuwa mbunifu hatamuweza Manara.

Namshauri ajirekebishe na asishindane na Manara kwa kumuiga au kwa kuropoka tu, hataisaidia Yanga na hatamshinda Manara.
 
Dahl! Jamaa umeniwahi niki kilema nilishakiona ana hilo tatizo na ni kubwa sana kwenye kichwa chake anaongea kama analingania dini na kunyoosha kidole juu kama anatamka shahada.

Ajue wapenzi wa clab ni wengi wenye itikadi mbalimbali hivyo maneno yake yasiingize dini na kama itamlazimu kutumia vionjo na salamu za kidini basi aballance na imani nyingine.

Tena mtu mstaarabu akitaka kutumia salamu za kidini kwenye watu mchanganyiko kuanza kwa kutumia salamu za dini nyingine na salamu inayotumiwa na dini yake anaiweka mwishoni.

Jambo ambalo ni ngumu kwa watu wa imani fulani akikukuta anajua wewe ni imani tofauti analazimisha kukusalimia kwa.salamu anayoitumia kwenye dini yake
 
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
 
Asalam aleikum means may peace be with you
Anaweza kuitikia tu waleikum salaam
Haina shida

QUOTE="Payrol, post: 38023308, member: 476851"]

[/QUOTE]
 
lugha tuu hiyo mkuu, lkn ni Salaam moja ya kiungwana sna laiti kama ungejua tafsiri yake kwa Kiswahili kama mdau alivyokutafsiria kwa Kiingereza hapo juu..
 
Hata MO ana quote sana maneno ya Nabii Ali.
Mbona anajua Wanasimba siyo wote wakristo?
Halafu Haji Manara anabebwa na ushindi wa Simba kama Jerry Muro alivyokuwa anabebwa na ushindi wa YANGA.
 
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
Salamu aleykum,na shekhe sio maneno ya kidini ni lugha tu ya kiarabu,shehe ina maana 2,moja ni kuonesha umri wa mtu na 2 ni mtu mwenye elimu,na hiyo assalam aleykum ni amani ya bwana iwe nanyi,hivyo sio mbaya shida ni kutamka aya za kuruani,ndio sawa.Ni msemaji wetu wa yanga,hivyo namuomba tu ajirekebishe
 
1. Assalaam alykum = Amani iwe nawe, uwe na amani, amani iwe juu yako.
2. Huku uswahilini kwetu sheikh ni kiongozi wa dini ila huko kwao au kwa tafsiri ya kiarabu sheikh ni mzee, mheshimiwa, kiongozi ( awe wa dini au serikali).
Hapo kwenye kukariri aya za qur'an nawaachia wenyewe mautopolo.
 
Salamu aleykum,na shekhe sio maneno ya kidini ni lugha tu ya kiarabu,shehe ina maana 2,moja ni kuonesha umri wa mtu na 2 ni mtu mwenye elimu,na hiyo assalam aleykum ni amani ya bwana iwe nanyi,hivyo sio mbaya shida ni kutamka aya za kuruani,ndio sawa.Ni msemaji wetu wa yanga,hivyo namuomba tu ajirekebishe
Sasa hapo ndo mnapokosea kwenye matumizi ya Lugha, kwa Mimi ambaye sijui kiarabu si nitajua umenitukana , kwa nini usiongee kiswahili kua "Amani iwe nawe'
Mnatakiwa kuangalia na mtu unayeongea naye ka anajua kiarabu ndipo unamsemesha.
 
Asalam aleikum means may peace be with you
Anaweza kuitikia tu waleikum salaam
Haina shida

QUOTE="Payrol, post: 38023308, member: 476851"]
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
[/QUOTE]
Hatuijaji tafsiri hiyo...hata owe na maneno mazuri na mema kiasi gani ustaarabu ni kuheshimu diversity za lugha na imani za watu.Mimi ni mnyaturu nikikutana na mkurya namsalimia amucha wang hata kama tafsiri yake ni nyama sana ,,,mkurya ataona umemdharau kwa kuona kuwa unajiona kuwa ya kwako ni suprime juu yake.

Hakuna ubishi kuwa kiarabu ni official language ya Islam,,,siiwote wanaamini imani hiyo hata kama ni njema na haina Rosario yoyote

Hakuna utata kuwa kiswahili,kilikuwa contaminated na baadhi ya maneno ya kiarabu na baadhi ya maneno ya kiarabu yakajipenyeza kwenye kiswahili ambacho kilikuwepo lakini maneno hayo sii kiarabu tena kwa sababu yanatofautiana kimatamshi ndio maana mwarabu hawezi kuongea kiswahili.

Hivyo,kama Luna mtu ameamua kungangania kiarabu kwa sasa basi iwe hivi yake na asilazinishe kulisha wengine kitu wasichokipenda,,kama ilivyo kiingereza mimi sizipendi hizi luga mbili maana nazichukulia kuwa ni lugha za wakoloni na wakandamizaji.Sisi tuna lugha yetu tuwasiliane kwa lugha zetu na wao wana lugha zao wawasiliane kwa lugha zao.Kama kuna watu wameona kuwa lugha hizo za ukoloni zinawafaa kwa dini na ibada zao, basi wazitumie kwenye ibada zao au baina ya waumini wa imani moja.
 
Sawa mkuu

QUOTE="avogadro, post: 38024876, member: 139733"]
[/QUOTE]
Hatuijaji tafsiri hiyo...hata owe na maneno mazuri na mema kiasi gani ustaarabu ni kuheshimu diversity za lugha na imani za watu.Mimi ni mnyaturu nikikutana na mkurya namsalimia amucha wang hata kama tafsiri yake ni nyama sana ,,,mkurya ataona umemdharau kwa kuona kuwa unajiona kuwa ya kwako ni suprime juu yake.

Hakuna ubishi kuwa kiarabu ni official language ya Islam,,,siiwote wanaamini imani hiyo hata kama ni njema na haina Rosario yoyote

Hakuna utata kuwa kiswahili,kilikuwa contaminated na baadhi ya maneno ya kiarabu na baadhi ya maneno ya kiarabu yakajipenyeza kwenye kiswahili ambacho kilikuwepo lakini maneno hayo sii kiarabu tena kwa sababu yanatofautiana kimatamshi ndio maana mwarabu hawezi kuongea kiswahili.

Hivyo,kama Luna mtu ameamua kungangania kiarabu kwa sasa basi iwe hivi yake na asilazinishe kulisha wengine kitu wasichokipenda,,kama ilivyo kiingereza mimi sizipendi hizi luga mbili maana nazichukulia kuwa ni lugha za wakoloni na wakandamizaji.Sisi tuna lugha yetu tuwasiliane kwa lugha zetu na wao wana lugha zao wawasiliane kwa lugha zao.Kama kuna watu wameona kuwa lugha hizo za ukoloni zinawafaa kwa dini na ibada zao, basi wazitumie kwenye ibada zao au baina ya waumini wa imani moja.
[/QUOTE]
 
Mimi ni yanga damu lakini naona upungufu mkubwa kwa mhamasishaji wetu, Antonio Nugaz.

1. Kwanza ana sauti nzuri sana lakini anaitumia chini ya kiwango, hana facts kabisa ila anapiga porojo tu.

2. Yeye ni msomi wa kuruani, lakini anapotumia aya kuruani kuitangaza Ynga akumbuke kuwa wanayanga wote sio Waislamu

3. Anashindana na Haji Manara, akumbuke kuwa manara ana talent yake, ambayo kapewa na Mungu, sasa akitaka kushindana nae bila ya kuwa mbunifu hatamuweza Manara.

Namshauri ajirekebishe na asishindane na Manara kwa kumuiga au kwa kuropoka tu, hataisaidia Yanga na hatamshinda Manara.
MANARA ni propagandist anafanya propaganda
 
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
Wana kujiona bora kisa eti wao ni waislamu.Inashangaza sana.
 
Namba 2 upo sahihi, namba 3 haupo sahihi (Nugas hashindani na Manara)

#DaimaMbeleNyumaMwiko
ni kweli kwa sababu Manala anashindana na Yanga nzima,kuanzia mashabiki mpaka viongozi
 
Manara kiboko yake Jerry Muro hivi wakati wa Jerry ulimsikia Manara akitamba ? Kuondoka kwa Jerry Muro kulimpa nafasi ya kuropoka Jerry alikuwa likizo muda mfupi uliopita na kumrushia makombora Haji mpaka akaanza kulalamika na kukimbilia serikani walikompuuza Nakuambia Herry akija hata wiki moja Manara hana ubavu kabisa si tuliona wakati Jerry yupo aliufyata
 
Back
Top Bottom