Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,301
- 2,394
Hatuijaji tafsiri hiyo...hata owe na maneno mazuri na mema kiasi gani ustaarabu ni kuheshimu diversity za lugha na imani za watu.Mimi ni mnyaturu nikikutana na mkurya namsalimia amucha wang hata kama tafsiri yake ni nyama sana ,,,mkurya ataona umemdharau kwa kuona kuwa unajiona kuwa ya kwako ni suprime juu yake.Sawa mkuu
QUOTE="avogadro, post: 38024876, member: 139733"]
Hakuna ubishi kuwa kiarabu ni official language ya Islam,,,siiwote wanaamini imani hiyo hata kama ni njema na haina Rosario yoyote
Hakuna utata kuwa kiswahili,kilikuwa contaminated na baadhi ya maneno ya kiarabu na baadhi ya maneno ya kiarabu yakajipenyeza kwenye kiswahili ambacho kilikuwepo lakini maneno hayo sii kiarabu tena kwa sababu yanatofautiana kimatamshi ndio maana mwarabu hawezi kuongea kiswahili.
Hivyo,kama Luna mtu ameamua kungangania kiarabu kwa sasa basi iwe hivi yake na asilazinishe kulisha wengine kitu wasichokipenda,,kama ilivyo kiingereza mimi sizipendi hizi luga mbili maana nazichukulia kuwa ni lugha za wakoloni na wakandamizaji.Sisi tuna lugha yetu tuwasiliane kwa lugha zetu na wao wana lugha zao wawasiliane kwa lugha zao.Kama kuna watu wameona kuwa lugha hizo za ukoloni zinawafaa kwa dini na ibada zao, basi wazitumie kwenye ibada zao au baina ya waumini wa imani moja.
[/QUOTE][/QUOTE]Tatizo la msemaji wa Yanga halipo kwenye salamu. Tatizo la msingi ni kwamba Nugaz hajui vitu vingi kuhusu football. Anajua kuongea lakini hajui kuusemea mpira. Huwezi ukawa unausemea mpira km MC wa harusi. Lazima uongee vitu vya kimpira km Haji Manara.
Pamoja na maneno yake machafu Haji mpira anaujua hasaaaa! Kuna muda anafanya utani na kuna muda anaongea facts tupu kuhusu mpira. Nugaz yupo yupo tu.Kuna vitu vingi sana hajui kuhusu mpira ndio maana akiwa anahojiwa huwa anajikanyaga kanyaga na kuishia kuongea maneno na salamu za kiarabu zisizo na maana. Hata historia kamili ya Yanga Sizani km anaijua vizuri. Kwa ufupi Nugaz kavamia fani asiyoiweza kabisa.