Jamani mwenye Elimu yoyote hapa,maana kuna watu wanakaa na magari miaka 5 bado mpyaa na kuna watu mwaka tu kila siku gereji..je kuna mwenye HINTS za kuzingatia atupie wote tufaidike
1.Ukizima gari hakikisha unaoff kwanza Radio and Ac
2. Gari ikiwa kwenye speed ukitaka kuchange Gia kuwa makini ukiweka Reverse ni rahisi kuua Gia Box
ETC
Haahahahahhaaa......usiweke chini ya mti....kinyesi cha kunguru kinaua gear box.
gari yako ya mwaka gani? Yani kabla ya kuzima kila saa uzime radio na ac kwanza!!!! Nunua gari za kisasa zinazojua ni muda gani radio izimwe bila ya wewe kuzima hasa unapoiwasha.
kuna mada niliiweka miaka kadhaa iliyopita humu Jf kuhusu namna ya kutunza magurumu ya gari. Itafuteni, bado ni nzuri. Thread Inaitwa 'Je matairi yako ni salama?
[/B]
hahahahahaa....
Gari yeyote ile zingatia:
1. Service Kwa wakati, na unatumia parts ambazo ni GENUINE always
2. Tumia amfuta safi tu epuka vituo vinavyochakachua mafuta
3. Gai isiendeshwe hovyo hovyo na "kila mtu" bila sababu maalumu,
4.....