Doroth Gwajima hagombei safari hii ?

Doroth Gwajima hagombei safari hii ?

Naamini Mama atamteua tena na atarudi. Wizara ya Afya au hii aliyopo sasa. Au yo yote tu. Nilikutana naye Dodoma wiki iliyopita. Simple, humble, smart and engaging. Unaongea naye anakuzingatia na kujibu maswali yako kwa ufasaha. Ni wazi ni mtu anayependa kujisomea. Extremely impressed. Mungu Azidi kumbariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Naamini Mama atamteua tena na atarudi. Wizara ya Afya au hii aliyopo sasa. Au yo yote tu. Nilikutana naye Dodoma wiki iliyopita. Simple, humble, smart, sharp and engaging. Unaongea naye anakuzingatia na kujibu maswali yako kwa ufasaha. Ni wazi ni mtu anayependa kujisomea. Extremely impressed; na Mungu Azidi kumbariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
No way
 
Naamini Mama atamteua tena na atarudi. Wizara ya Afya au hii aliyopo sasa. Au yo yote tu. Nilikutana naye Dodoma wiki iliyopita. Simple, humble, smart and engaging. Unaongea naye anakuzingatia na kujibu maswali yako kwa ufasaha. Ni wazi ni mtu anayependa kujisomea. Extremely impressed. Mungu Azidi kumbariki 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tatizo lako ni moja tu wewe mzee...
 
Back
Top Bottom