PostGE2025 Doria mitandaoni zinaendelea

PostGE2025 Doria mitandaoni zinaendelea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,981
Reaction score
828,718
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..

Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha sana! Litazame kiroho.. Lina kina kirefu, giza zito na majibu ya kutisha sana!

CCM iko madarakani kwa miongo sita sasa sawa na miaka 60! Kuweza kubakia kwenye power kwa kipindi chote hicho si lelemama ati.. Kina mambo mazito na magumu katika ulimwengu wa giza

Serikali haiamini katika Mungu.. Bali serikali inaamini na kuabudu miungu inayowapa nguvu na uwezo wa kubaki madarani.. Hata kama haiwezi kukiri lakini kuna siri za kiti zipo

Achana na makafarq ya Ziwa Tanganyika, Mtwara na Bagamoyo.. Achana na kafara la kukimbiza moto.. Makafara hubeba roho! Na roho haibaki milele kwenye eneo moja.. Huhama

Roho inapohama kimwili ni kifo.. Roho inapohama kwenye kafara ama zindiko huo ndio mwisho wake .. Inabidi kulibust

Kafara ama zindiko haliwi hilo hilo miaka yote! Kadiri unavyokuwa ndivvyo navyo linavyohitaji kukua
Utaanza na kuku mmoja
Watafuatia wawili mwisho wafike 10

Utaingia kwenye kondoo na mbuzi utaanza na mmoja mwisho utafikisha 10.

Utapanda viwango na kuingia kwenye ng'ombe au ngamia.. Mwisho watasizi

Mwisho utafika pa kutoa damu kubwa ambayo ni ya binadamu.. Kuna machaguo mawili ndugu, ndugu wa karibu mmoja au watu baki watatu.

Kafara halishibi damu wala nyama.. Kila likianza kutepeta ni more demanding ya kimiminika chekundu kikubwa

Sasa unaingia kuua pembe moja, unafuatia pembe 2, 3, 4, 5, mpaka unafikia kuua pembe kumi za uumbaji.. Pembe moja ni kama kaskazini pembe nne ni kama kaskazini,kusini, mashariki na magharibi

Ukishamaliza kote huko kifuatacho sasa ni halaiki.. Ni kimbari...Maana kuzimu hakushibi.

Yeyote anayefanya hayo hujiingiza kwenye maagano mabaya na kujikuta kwenye gereza la mateka lisilo na uhuru wa milele
CCM itaanguka lakini kwa gharama kubwa sana ya damu zisizo na hatia kwa ajili ya ulinzi madaraka na usalama wa wakuu walichukuliwa mateka utumwani kwenye kafara na mazindiko
Doria za mitandaoni na matisho yana asili na mizizi yake! Tuzidishe maombi hiki kina ni kirefu
 
"Mwisho utafika pa kutoa damu kubwa ambayo ni ya binadamu.. Kuna machaguo mawili ndugu, ndugu wa karibu mmoja au watu baki watatu."
 
Wafanyabiashara wa mabus wanalijua vizuri sana hili
You make stupudity very obvious.You have the right to be stupid but you are abusing the opportunity.
What a moron.
 
The fact that you are poor is a direct representation that you are stupid
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..

Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha sana! Litazame kiroho.. Lina kina kirefu, giza zito na majibu ya kutisha sana!

CCM iko madarakani kwa miongo sita sasa sawa na miaka 60! Kuweza kubakia kwenye power kwa kipindi chote hicho si lelemama ati.. Kina mambo mazito na magumu katika ulimwengu wa giza

Serikali haiamini katika Mungu.. Bali serikali inaamini na kuabudu miungu inayowapa nguvu na uwezo wa kubaki madarani.. Hata kama haiwezi kukiri lakini kuna siri za kiti zipo

Achana na makafarq ya Ziwa Tanganyika, Mtwara na Bagamoyo.. Achana na kafara la kukimbiza moto.. Makafara hubeba roho! Na roho haibaki milele kwenye eneo moja.. Huhama

Roho inapohama kimwili ni kifo.. Roho inapohama kwenye kafara ama zindiko huo ndio mwisho wake .. Inabidi kulibust

Kafara ama zindiko haliwi hilo hilo miaka yote! Kadiri unavyokuwa ndivvyo navyo linavyohitaji kukua
Utaanza na kuku mmoja
Watafuatia wawili mwisho wafike 10

Utaingia kwenye kondoo na mbuzi utaanza na mmoja mwisho utafikisha 10.

Utapanda viwango na kuingia kwenye ng'ombe au ngamia.. Mwisho watasizi

Mwisho utafika pa kutoa damu kubwa ambayo ni ya binadamu.. Kuna machaguo mawili ndugu, ndugu wa karibu mmoja au watu baki watatu.

Kafara halishibi damu wala nyama.. Kila likianza kutepeta ni more demanding ya kimiminika chekundu kikubwa

Sasa unaingia kuua pembe moja, unafuatia pembe 2, 3, 4, 5, mpaka unafikia kuua pembe kumi za uumbaji.. Pembe moja ni kama kaskazini pembe nne ni kama kaskazini,kusini, mashariki na magharibi

Ukishamaliza kote huko kifuatacho sasa ni halaiki.. Ni kimbari...Maana kuzimu hakushibi.

Yeyote anayefanya hayo hujiingiza kwenye maagano mabaya na kujikuta kwenye gereza la mateka lisilo na uhuru wa milele
CCM itaanguka lakini kwa gharama kubwa sana ya damu zisizo na hatia kwa ajili ya ulinzi madaraka na usalama wa wakuu walichukuliwa mateka utumwani kwenye kafara na mazindiko
Doria za mitandaoni na matisho yana asili na mizizi yake! Tuzidishe maombi hiki kina ni kirefu
Andiko zuri sana, ila maombi (point ya mwisho hapo) pekee hayatakuja kuokoa taifa hili. Watu wengi hujificha kwa kivuli cha maombi. Wote tukemee kwa nguvu zetu, hilo ni jambo muhimu sana
 
ukiona giza linazidi..ujue kumekaribia kupambazuka
 
Mkuu walioua kwenye uchaguzi Mkuu hawatoshi? kafara bado inahitajika?
 
Nashauri wakimuona samia anakimbia nchi wakimbie nae hakuna muuwaji tutakaye mpa tuzo, ndipo huu upumbavu utaisha
Ulaya kote na marekani hawamtaki, labda akimbilie China na hiyo direct flight to China sijui kama itapatikana kwa wakati maana akitua tu sehemu kuongeza mafuta wanae🤣🤣
 
Back
Top Bottom