Don't try this

Sasa bora ubanwe na plaizi au ung'atwe na vaisi ya mamba kuliko kung'atwa na hiyo njemba.
 
Pawa kakomaa kichwa balaa

HIYO PAMBA YA MDAU PEMBENI INA RESIRESI NYEUPE NIMEIKUBALI..HAHAHAHA
 
Ndio ilikuwa shughuli yao akina power iranda na mwingine alijiita jitu la miraba minne walituokota sana waqt huo.
 
Power iranda baba ya maguvu jeuri ya Tanzania,nakumbuka 90s' ndani ya morogoro, mitaa ya mlapakolo.
 
Mkuu Mshana nahitaji Ile ngoma ya Beatrice ya Zahir Zoro,naipataje?? Nimeikosa kwenye mtandao.
 
Mkuu Mshana nahitaji Ile ngoma ya Beatrice ya Zahir Zoro,naipataje?? Nimeikosa kwenye mtandao.
Aisee huu wimbo bado shida kuupata mtandaoni ila sijakata tamaa kuna mdau alisema anao ila sikumbuki post
 
Hiyo ni chuma mdomoni, je denda linakuwaje.? weka mbali na mdomo wa mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…