Aisee........nimependa aina ya gari.......kumbeeeeeeee........Kenya yanatumika kama gari za patrol.........
Hukumuelewa mleta picha.Mbona gari za kawaida tu hizi...Mbona Tanzania kuna Benz,Landrover freelander,110,Land cruiser hardtop na MG(hizi ni nzuri kuliko hata hizo corolla ninazoziona hapo juu) za Polisi.