Wewe ni mnywarwanda 100% mliokimbia 1994 baada ya kufanya genocide,wewe or one of your family mnatafutwa na international community au mko jela kwa mauaji mlliyofanya against Tutsi,and you have no any business of calling yourself Tanzanian because you are not..hakuna mtanzania hating Rwanda like you and to your credit seems you know a lot about Rwanda more than anybody though is all lies,hating and BS propaganda.
Ndugu Kibona,
Nashukuru kwa tafakari yako.
Binafsi nimejaribu kutaka kujua zaidi kuhusu hiyo hotuba ya Kagame ila kinyarwanda kimetumika zaidi na siifahamu hiyo lugha.
Ila nadhani kila tamko linategemea kilichoulizwa au kujadiliwa.
National Dialogue ina maana ya maongezi au majadiliano ya kitaifa. Na bila shaka Rwanda haiwezi kujadili maswala ya kitaifa kiusalama bila kujadili maswala ya vita na FDLR. Mfano, Rais Obama hawezi kujadili usalama wa USA bila kuongelea al-qaeda au ISIS kwa sasa.
Mimi nisingependa kuunga mkono upande wowote ila najadili mantiki ya uwepo wa mijadala mingi kuhusu Rwanda ndani ya forum yetu pamoja na kwamba Rwanda ni nchi jirani na kwa namna moja au nyingine matatizo yao yanatuathiri.
Point ni kuwa tumeshuhudia matusi ya watusi na wahutu humu ndani pindi wanapojadili issues zao. Badala ya ku argue wanaenda mbali na matusi mengi.
Uhutu au utusi si dili. Sisi tuna makabila zaidi ya 120 na bado tunaishi kwa kistaarabu na chaguzi zetu mara zote zimewaweka kwenye uongozi watu wanaotoka makabila madogo ila wakichaguliwa na watu wengi. Wao bado wanajadili MAJORITY Vs MINORITY kikabila. Tumeshuhudia hata viongozi wetu walio wajinga wakizungumzia Rwanda kwa vigezo kama hivyo. Huu ni "ujinga". Na hapa ndo natofautiana na akina Mukama... au jMali wanaojadili kikabila.
Wananchi tunataka uongozi usiogonganisha watu bali kuwaunganisha. Kuongea ukabila karne ya 21 ni sawa na Baba anayembaka binti yake.
Tuaombee hawa wanyarwanda watazamane kwa uti na si ukabila. Awaonyeshe yaliyo mema kwa kila upande badala ya kuona wenzao kutoka upande hasi (negative side).
Anjo
Sasa kama una re affirm kuwa social services mbaya zinapelekea hayo uliyosema correlation inapotelea wapi au accessibility na utilization sio aspects za social services??!!
fine: lets say wahamiaji haramu toka Rwanda wanakimbia social services nzuri za serikali, how stupid of them! Lazima watakuwa interahamwe na FDLR tu wanaotaka kuipaka matope serikali ya kagame kwa kuonyesha dunia kuwa kuna shida Rwanda, wakati ni nchi ya maziwa na asali!
duh, natafutwa na international community lakini i'm free to post on JF since 2010, niko jela lakini yet nazungumza na wewe? dude, do you not think first before spewing your hateful garbage, jaribu kufuata ushauri wa kagame kwa waziri wenu wa Afya!:becky:
Nimekwambia mie ni oversize kwako, tafuta watu wa kujadiliana nao. By the way mie ni headmaster mnoko wa shule ya kata na ni mtu mzima nilishapita age ya kukimbizana na fashion. Kuonesha kuwa wewe ni mtu frustrated kabisa umekuwa huna uwezo wa kupinga kwa hoja na sasa umehama kutoka matusi ya jumla jumla umeamua kuivamia picha, lakini kwa hii statement uliyoiandika hapa nimejiridhisha kuwa wewe sio tu kwamba ni masikini wa mawazo bali pia ni mtoto mdogo sana kwangu na nimehitimisha kuwa mtoto aliyelelewa ukimbizini hawezi kuwa na free mind hata kidogo hivyo hii ni post ya mwisho kujibizana na wewe.Hiyo miwani mibovu ya 1800s with your cheap suit is self explanatory...you look like a clueless headmaster mnoko wa shule ya Kata.
duh, natafutwa na international community lakini i'm free to post on JF since 2010, niko jela lakini yet nazungumza na wewe? dude, do you not think first before spewing your hateful garbage, jaribu kufuata ushauri wa kagame kwa waziri wenu wa Afya!:becky:
Nimekwambia mie ni oversize kwako, tafuta watu wa kujadiliana nao. By the way mie ni headmaster mnoko wa shule ya kata na ni mtu mzima nilishapita age ya kukimbizana na fashion. Kuonesha kuwa wewe ni mtu frustrated kabisa umekuwa huna uwezo wa kupinga kwa hoja na sasa umehama kutoka matusi ya jumla jumla umeamua kuivamia picha, lakini kwa hii statement uliyoiandika hapa nimejiridhisha kuwa wewe sio tu kwamba ni masikini wa mawazo bali pia ni mtoto mdogo sana kwangu na nimehitimisha kuwa mtoto aliyelelewa ukimbizini hawezi kuwa na free mind hata kidogo hivyo hii ni post ya mwisho kujibizana na wewe.
Ndugu Kibona,
Nashukuru kwa tafakari yako.
Binafsi nimejaribu kutaka kujua zaidi kuhusu hiyo hotuba ya Kagame ila kinyarwanda kimetumika zaidi na siifahamu hiyo lugha.
Ila nadhani kila tamko linategemea kilichoulizwa au kujadiliwa.
National Dialogue ina maana ya maongezi au majadiliano ya kitaifa. Na bila shaka Rwanda haiwezi kujadili maswala ya kitaifa kiusalama bila kujadili maswala ya vita na FDLR. Mfano, Rais Obama hawezi kujadili usalama wa USA bila kuongelea al-qaeda au ISIS kwa sasa.
Mimi nisingependa kuunga mkono upande wowote ila najadili mantiki ya uwepo wa mijadala mingi kuhusu Rwanda ndani ya forum yetu pamoja na kwamba Rwanda ni nchi jirani na kwa namna moja au nyingine matatizo yao yanatuathiri.
Point ni kuwa tumeshuhudia matusi ya watusi na wahutu humu ndani pindi wanapojadili issues zao. Badala ya ku argue wanaenda mbali na matusi mengi.
Uhutu au utusi si dili. Sisi tuna makabila zaidi ya 120 na bado tunaishi kwa kistaarabu na chaguzi zetu mara zote zimewaweka kwenye uongozi watu wanaotoka makabila madogo ila wakichaguliwa na watu wengi. Wao bado wanajadili MAJORITY Vs MINORITY kikabila. Tumeshuhudia hata viongozi wetu walio wajinga wakizungumzia Rwanda kwa vigezo kama hivyo. Huu ni "ujinga". Na hapa ndo natofautiana na akina Mukama... au jMali wanaojadili kikabila.
Wananchi tunataka uongozi usiogonganisha watu bali kuwaunganisha. Kuongea ukabila karne ya 21 ni sawa na Baba anayembaka binti yake.
Tuaombee hawa wanyarwanda watazamane kwa uti na si ukabila. Awaonyeshe yaliyo mema kwa kila upande badala ya kuona wenzao kutoka upande hasi (negative side).
Anjo
Ndio hivyo ndugu yangu JustDoItNow wanataka na sie tuwapigie makofi tu wakati tatizo tunaliona, mie naamini kuwa ni bora tuendelee kuwapa ukweli hata kama hawataki kuusikia lakini mbele ya safari watakiri kuwa watanzania ni watu wa kusema ukweli hata kama kusema kunawagharimu. Kikwete kawaambia wanatutishia nyau, wanataka tukae kimya kama wakenya na waganda, sie hatuna tabia ya kinafki kama hiyo. Ukweli lazima usemwe watake wasitake.Mkuu kibona walete huku. Wakiambiwa ukweli wanaanza ku judge face value, na mimi nawapeleka huko huko. Sa mtu kama huko smart na unachoongea miwani inahusiana vipi na maongezi ya uzi huu?
Yaani hawana kitu kipya chochote kwasababu hata rais wao ni mtu amekulia msituni siyo mstaarabu kabisa Koba
Miongoni mwa masuala walio wengi wanayazungumza ni huu mkazo wa geneside juu ya Watutsi as if ni Watutsi pekee waliouawa 1994. Kwao, huu ni mfano mmojawapo kuonyesha kuwa serikali ya Kagame imebase zaidi kwenye Ututsi kuliko Unyarwanda.
Nadhani mmesikia juu ya mgogoro wa BBC na serikali ya Rwanda, tatizo ni BBC kusema wazi kuwa majority ya waliokufa kwenye mgogoro ule ni Wahutu na sio Watutsi kama inavyoaminishwa na serikali ya Kagame, na kwanin serikali isisitize tu kuwa ni mauji ya Wanyarwanda na kukazania msisitizo wa mauji ya Watutsi??
Refer: Rwanda bans BBC broadcasts over genocide documentary | Media | The Guardian
Its hour-long documentary, Rwanda, The Untold Story, also quoted US researchers who suggested that many of the more than 800,000 Rwandans who died in the 1994 genocide may have been ethnic Hutus, and not ethnic Tutsis as the Rwandan government maintains.
Unaweza kuona jinsi Kagame na serikali yake wanavyohangaika sana kuyafanya mauaji yale yaeleweke kuwa ni mauaji dhidi ya Watutsi na sio ya Wanyarwanda, Genocide against the Tutsi: Itâs now official - News - www.theeastafrican.co.ke, unabaki kujiuliza serikali isiyotaka ukabila kwanini iweke msisitizo kwenye ukabila?je mauji yakisemwa ni dhidi ya Wanyarwanda kuna tatizo gani?je Wahutu waliouawa ndio tuwapotezee lakini tukumbuke tu kuuawa kwa Watutsi?kuna tatizo kubwa Rwanda kuliko wengi wanavyodhani.
oversize my azz.......you are just a vicious Kagame/tutsi hater and no intention of any meaningful debate/conversation,mko hapa to spread lies,hate and all the BS you can make,good thing Rwanda is moving on for better in all fronts and numbers don't lie...FU.Nimekwambia mie ni oversize kwako, tafuta watu wa kujadiliana nao. By the way mie ni headmaster mnoko wa shule ya kata na ni mtu mzima nilishapita age ya kukimbizana na fashion. Kuonesha kuwa wewe ni mtu frustrated kabisa umekuwa huna uwezo wa kupinga kwa hoja na sasa umehama kutoka matusi ya jumla jumla umeamua kuivamia picha, lakini kwa hii statement uliyoiandika hapa nimejiridhisha kuwa wewe sio tu kwamba ni masikini wa mawazo bali pia ni mtoto mdogo sana kwangu na nimehitimisha kuwa mtoto aliyelelewa ukimbizini hawezi kuwa na free mind hata kidogo hivyo hii ni post ya mwisho kujibizana na wewe.
Eti maziwa na asali, sio malaika ila kazi yake inaonekana anamapungufu lakini kuwa gumzo tu inatosha kuamsha popo! !!
oversize my azz.......you are just a vicious Kagame/tutsi hater and no intention of any meaningful debate/conversation,mko hapa to spread lies,hate and all the BS you can make,good thing Rwanda is moving on for better in all fronts and numbers don't lie...FU.
Top 10: Africa's most prosperous countriesusizuge bwana, tumefukuza wanyarwanda zaidi ya 15,000! kwa operesheni kimbunga, na sasa hivi tunaambiwa tayari wameshaanza kurudi maporini kwetu. Halafu wewe unatuletea ngonjera za social services nzuri za Rwanda, hivi ni nani mwenye akili timamu akimbie social services akaishi maporini nchi jirani? Hivi ni nani hataki mwanae wa shule ya msingi asomee laptop na Ipad tunazoimbiwa na serikali ya kagame aje aishi maporini kagera? Get real chief! Hatusemi Rwanda hamna kitu lakini hatukubali hizi propaganda za kitoto.
oversize my azz.......you are just a vicious Kagame/tutsi hater and no intention of any meaningful debate/conversation,mko hapa to spread lies,hate and all the BS you can make,good thing Rwanda is moving on for better in all fronts and numbers don't lie...FU.
Top 10: Africa's most prosperous countries
Top 10: Africa's most prosperous countries
Wananyea kambi mkuu wamesahau kuwa ni TZ ndiyo iliyosabisha RPF waruhusiwe kuingia Rwanda kabla ya 1994 kupitia mazungumzo ya Arusha. Wakati ule tulipokuwa tunataka haki itendeke kumbe wao walidhani tunawapendelea, sasa hivi tunataka wawape nafasi wapinzani wao wanafungua midomo ya kashfa. Uzuri ni kuwa watz huwa hatusahau acha waendelee kutuvutia kwenye jukwaa la chuki maana najua mwisho watavuna mabua. Muda si mrefu watagundua kuwa hizo alliances uchwara za CoW ni mbwembwe tu.kitu cha ajabu, wewe unayeongea ulikuwa mkimbizi ukakimbilia tz wakati wa kibano huko kwenu mfulukyunyozini kigali. umeishi tz upepata makazi hapa, chakula na choo ya kujisaidia, ukaenda shule na kujua hata kiswahili, umekua umerudi kwenu unawatukana watanzania. hii ndio inafanya dunia nzima ione watusi ni watu ambao sio wa kuwaamini wala kushirikiana nao. imagine, if today rwanda kikinuka tena, mtakuja tz wakati kwa sasa moja ya adui namba moja ya rwanda ni tanzania? na mmeguko wa uhusiano kati ya watz na wanyarwanda ambao kagame amesababisha hautakuja kuisha kamwe, na bahati mbaya its not more of tz risk, nyie ndio mtapoteza zaidi kuliko sisi.
operation kimbunga isingefanyika kama wasingekuwepo watu kama wewe rwanda, zaidi ya wanyarwanda 6000 walikuwa sacrificed kwasababu ya midomo michafu kama ya aina yako tu. comment ambazo ninyi mnazifanya zinasomwa na watz wote wa kawaida hadi viongozi wetu wa juu na hatred kati ya wanyarwanda na watz inazidi kuongezeka siku hadi siku. kuna siku mtakuja kutafuta sehemu ya kukimbilia kwasababu nakupa miaka 5 ijayo, kama kagame hatakuwa ameondoka madarakani, basi wahutu na watusi wa rwanda wataungana kumwondoa kinguvu na ikipidi kwenda msituni wakisaidiwa na tz, south africa na congo.
Huna haja ya kupanic, wakati mwingine ni vizuri kusikiliza, au kusoma kuupata upande wa pili nwa shilingi. Kuna usioweza wewe kuyaona lakini yapo wazi kwa wengine.Na sote tunaitakia heri Rwanda ila tofauti na wewe tunaona hatari iliyo mbele.
Rafiki mzuri atakueleza mapungufu na sio kukusifia wakati muelekeo wako hauna mwisho mwema, kutoona mapungufu kwenye approach ya Kagame kwa faida ya amani ya kudumu ya Rwanda ni ishara ya upofu.