Hivi Kikwete akitoa the same statement does it mean the country is facing credible threat kama unavyosema?
FDRL is a threat regardless of the strength, ndio maana UN,na AU zimeipatia mpaka next month ku disarm au wapigwe unadhani international organizations zinaweza kuchukua uamuzi huu bila kuona umuhimu wa suala hili.
Ndio maana nchi za Ulaya kama German ukionyesha support to FDRL, be it in forums like this one or anywhere it is a punishable crime, ndio maana wenzako huko majuzi walikamatwa.
Eti ex FAR ya 57??na vibunduki vya 1994? kuna wakati unachanganya mambo mpaka nashindwa kukuelewa..
Kama ni hivyo basi na RDF ni ya 1990 na inatumia vibunduki vya 1990.
(Do you mean FDRL is not recruiting or getting arm supplies, is this new to you?wewe na wenzako wachache sindio huwa mnapost picha za FDRL wakiwa na vifaa vya kisasa kabisa.
So for you, Raisi wa nchi akae kimya wakati wananchi wake wanapata taarifa kama hizo.
FDRL ipo japo haina nguvu, lakini it is a threat manake inawatu wakuisaidia kueneza propaganda(waajiriwa)
Hawa ndio wanatumika kupost habari kila kukicha kwenye mitandao kama Jamiiforum etc.
Fortunately, waNyarwanda walio wengi hawafuatilii mitandao hii achilia mbali kuwa hata Kiswahili chenyewe wanaokifahamu ni wachache mno.
That means....you are sending the message to the wrong people
1. FDLR is not a threat, it was formed as a defence force against RDF incursions into DRC kuua wahutu wakimbizi. Mauaji ambayo yako documented by the UN. Hapo ndipo wakimbizi hawa wakalazimika kuungana na ex-FARs kuunda wing ya FDLR yenye silaha. Kinachomtisha kagame ni kuwa hawezi kuwamaliza kwa mtutu kama alivyofanya pre-2000. Ni hicho tu.
2. Msimamo wa SADC na jumuiya nyingine ni ku-disarm FDLR ili kuleta amani DRC, sio kuvunja malengo ya FDLR kisiasa. Kwa hivi sasa hakuna sababu ya FDLR kuwa na silaha kwa sababu dunia nzima inamulika pale. The threat of being butchered by RDF imeondoka. Hivyo silaha zile hazina haja tena. Sidhani kama hilo maana yake ni kuwa FDLR imekatazwa kufanya siasa.
3. Ume-exaggerate kinachotokea Germany. Wale wa Germany ni viongozi halisi wa FDLR waliokuwa na kesi za war crimes in DRC toka 2008! Wanashitakiwa kwa ajili ya specific crimes ambazo FDLR wametuhumiwa kufanya DRC (war crimes) wala sio for just for just being members. Wanashitakiwa for ordering killings kutokea Germany dhidi ya majeshi ya DRC na Rwanda ambayo yalikuwa yanaungwa mkono na UN back then, hio ndio kesi. That's why hawa watu hawakuwa wamejificha huko, huyo mtu alikuwa anaishi under political asylum granted by the same gov of Germany since 2000 FDLR ilipoanzishwa. Kuna specific members mostly leaders wa FDLR ambao wako under sanctions na members wa kawaida. No body with a right mind supports any criminal activities za FDLR or any other group, but we all understand FDLR is a political problem, kama hilo ni kosa then i'm guilty as charged....alongside my fellow "interahamwe" jakaya kikwete!
Let me give you something to think about: kiongozi wa FDLR calixte mbarushimana alishitakiwa nchini Rwanda for genocide, akaja kutetewa na UN ambao walithibitisha kuwa jamaa alikuwa kazini as software programmer NJE YA RWANDA at the time. kesi ikafa kibudu! Rwanda bado wakafungua nyingine ICTR, ICTR ika-drop case! baadae wakaenda ICC for DRC crimes, ICC nayo ikatupilia mbali kesi.....kwa nini Rwanda isimtoe Laurent Nkunda naye aende mahakamani DRC na ICC tuone itakuwaje?
4. RDF ni jeshi la nchi, FDLR tena sio FDLR nzima bali the armed wing ni masalia ya FAR, hizo bunduki mpya wanazipata wapi? katika hao sijui 1500 how many of them walikuwapo 1994 wakipigana? And i don't remember anytime nimepost picha za FDLR wakiwa na silaha mpya, maybe you can provide a link to that effect. Ila FACT ni kuwa M23 had new weapons, new gears, new everything na waliviacha walipopigwa na Monusco (wakiongozwa na TZ:becky
🙂 DUNIA NZIMA ILIVIONA. Since M23 were supposed to be rebels from FARDC, na FARDC wenyewe walishangaa kuona mitambo ambayo hawana where did these mere rebels get these weapons from?....Anyway this is pointless M23 is no more, na FDLR wanadisarm na wasipofanya hivyo tutawapiga mwezi ujao so lets leave it like that.
5. Kuhusu FDLR kuwa na "waajiriwa" hapo ndipo TATIZO KUBWA LILIPO. FDLR wanachodai ni kitu ambacho mtu yoyote anakubaliana nacho. Nacho ni demokrasia na haki ndani ya Rwanda. Huwezi kudai kusema hivyo maana yake "umeajiriwa" au "unapiga propaganda za FDLR". That is simply the truth, hakuna democracy wala haki ndani ya Rwanda. Ndio maana hata mtu ndani ya RPF akiongea tofauti na kagame atazushiwa kuwa na "links with FDLR". FDLR imekuwa ni kama fimbo ya kuchapia any critic of Kagame. Ndio maana kuanzia Kikwete, jacob Zuma, entire SADC, France, nyamwasa, rudasingwa, victoire ingabire....down to jmali wa JF mnatuita FDLR! hiyo FDLR ina nguvu gani ya kutuajiri watu diverse namna hiyo kwa wakati mmoja? Kukubaliana na FDLR kimtazamo wa baadhi ya mambo hakumfanyi mtu awe FDLR. Thats why wanapotaka kuzungumza sisi kama watanzania tunawasupport lakini wasipoweka silaha chini by the set deadline sisi hao hao tutawachapa.
6 Ni kweli wanyarwanda hawafuatilii JF, actually majority hawana access ya internet in the first place. Na hata hao walio na access na internet mostly wakiwa kigali pekee, hawaongei kiswahili. Wanyarwanda pekee humu ndani kama wewe, actually sio wanyarwanda AT ALL, bali watanzania wenye asili ya kitutsi, ambao somehow mnaona fahari kumtetea kagame kwa sababu ni kabila lenu. Mna chuki za jumla jumla dhidi ya wahutu kwa sababu wazazi wenu walikuwa forced to live in exile. You have no idea what kagame really is like, hamjafika hata huko Rwanda, kama mmefika mmeenda kama watalii because hamna hata ndugu vijijini kwa vile generations zenu nzima ziko Ngara na karagwe mkijiita wanyambo, wahangaza etc. Ukimpata mtutsi mwenzio original wa Rwanda ukampa uhuru wa kufunguka, wewe utamuita FDLR/interahamwe within two minutes! Thats why kizito mihigo, mtutsi ambaye kapoteza wazazi na ndugu kwa genocide in 1994 leo hii yuko jela for what? being FDLR! why? kwa sababu katoa mawazo yake kupitia wimbo!
The real banyarwanda ni kama hawa hapa kwenye hii video. sio nyie wanyarwanda wa Ngara na karagwe....sorry for makavu live!