1. utajisumbua bure kuniita mnyarwanda na kunizungumzisha kikwenu, mimi najua cha kuombea maji tu mkuu.
2. nimemaanisha majority ya watu hapa JF, tatizo lenu "wanyarwanda" mnaposikia majority mnadhani lazima ni ile "majority" mnayoikandamiza huko kwenu. Majority ni neno linaloweza kutumika katika mazingira mengine vile vile, so calm down kabla hujaanza kudondosha takwimu:becky:
3. tatizo ni kuwa kagame anaongea in codes, what he calls destabilisation ni upinzani wa kawaida tu wa kisiasa, there isn't any credible destabilization threat from anywhere ndani ya Rwanda wala nje ya Rwanda. Ndio maana kagame huyo huyo anajitapa kuwa aliwapiga FAR ndani ya siku 100 tu akawafukuzia DRC, lakini mpaka leo hii over 20 years, anazungumzia threats toka kwa hao hao ex-FAR wakiwa ukimbizini DRC! Kila siku anaingiza majeshi DRC akidai kuwatafuta. Hivi inawezekanaje ukawapiga jeshi zima in 1994 halafu ukashindwa kuwamaliza mpaka leo. Are they really a threat to Rwanda au anaikuza? kama average age ya askari ilikuwa miaka 37 kama ya kwake back then, ina maana leo Rwanda inatishiwa na ex-FAR ya wazee wa miaka 57? tena wenye vibunduki vile vile vya 1994 vs bunduki za kagame toka america?
Hivi Kikwete akitoa the same statement does it mean the country is facing credible threat kama unavyosema?
FDRL is a threat regardless of the strength, ndio maana UN,na AU zimeipatia mpaka next month ku disarm au wapigwe unadhani international organizations zinaweza kuchukua uamuzi huu bila kuona umuhimu wa suala hili.
Ndio maana nchi za Ulaya kama German ukionyesha support to FDRL, be it in forums like this one or anywhere it is a punishable crime, ndio maana wenzako huko majuzi walikamatwa.
Eti ex FAR ya 57??na vibunduki vya 1994? kuna wakati unachanganya mambo mpaka nashindwa kukuelewa..
Kama ni hivyo basi na RDF ni ya 1990 na inatumia vibunduki vya 1990.
(Do you mean FDRL is not recruiting or getting arm supplies, is this new to you?wewe na wenzako wachache sindio huwa mnapost picha za FDRL wakiwa na vifaa vya kisasa kabisa.
So for you, Raisi wa nchi akae kimya wakati wananchi wake wanapata taarifa kama hizo.
FDRL ipo japo haina nguvu, lakini it is a threat manake inawatu wakuisaidia kueneza propaganda(waajiriwa)
Hawa ndio wanatumika kupost habari kila kukicha kwenye mitandao kama Jamiiforum etc.
Fortunately, waNyarwanda walio wengi hawafuatilii mitandao hii achilia mbali kuwa hata Kiswahili chenyewe wanaokifahamu ni wachache mno.
That means....you are sending the message to the wrong people