Don't risk to destabilizing Rwanda-warns President Kagame

Don't risk to destabilizing Rwanda-warns President Kagame

The repair to what happened in Rwanda is very expensive to be footed by Tutsis alone. I think there is needed a national approach to the issue involving all tribes. What is frightening is, this kind of dialogue forces Kagame first admit and apologize for the brutality and genocide he incited against the Hutus. Something he is too proud to admit !! so the game goes on...

nacho kuambia hawa jamaa wamshukuru pk bila yeye wangefutiliwa mbali nafikiri pasingekuwepo hiyo kabila ndani ya rwanda kwani walifanya ukatili mkubwa sana na waliiumiza roho nyingi za watusi.
 
Mi nadhani tuache tu kujadiliana kwa kuwa huna hujualo unanipotezea muda, mimi nazungumzia sheria ya alliance wewe unaleta juisi za kikwete ikulu.

kwani ni marayakwanza kusikia aliance za vyama??? hata hiyo ya juisi ni alliance vilevile.
 
huna uhakika....alipambana na kingdom zingine katika harakati za kujitanua na hizo kingdom zilikua mchanganyiko wa makabila yote haikua kabila mmoja.

of course alipambana na wengine, mi nazungumzia king rwabugiri na milita ya inkotanyi in respect ya mjadala wa relationship kati ya watutsi na wahutu. Usizuge.
 
of course alipambana na wengine, mi nazungumzia king rwabugiri na milita ya inkotanyi in respect ya mjadala wa relationship kati ya watutsi na wahutu. Usizuge.

inkotanyi lilikua jeshi la mfalme..kama vile unavyoita jwtz.
 
mimi siku hizi mpole tu: sawa bwana, let me guess inkotanyi pia ilikuwa na wahutu eti eee?

jeshi hilo lilikua na makabila yote,mtusi,muhutu na kwa taarifa yako makamanda wengi walikua wahutu.
 
Mukamasimba you are just wasting your time debating huyo mwehu Jmali.He is here for one mission and only one kumwaga sumu,they killed almost a million Tutsi mostly women and innocent children,hawa mbwa don't deserve anywhere close to reconciliation table,hawa wehu ni either surrender and face the justice or kipigo to eliminate
 
wewe hustoria ya rwanda huijui nyamaza acha kuroga watu,wanyarwanda kabla ya mkoloni walikua wamoja,na walikua wakimkubali na kumheshimu mfalme wao,nafikiri ni katika dunia nzima mfalme anatoka katika familia moja,na wakati ufalme ulikua katika ukoo mmoja wa kitusi na sio watusi wote walikua na haki ya kua wafalme na wote pamoja na wahutu walimkubali kama mfalme wao na walikua wakienda vitani pamoja kama wanyarwanda,sasa hizi tofauti nizajuzi zilizoletwa na wakoloni katika ule mchezo wao wa divide and rule,na kubaliana na wewe upande mmoja hawa wazungu walipandikiza sumu kwa wanyarwanda...na sasa wanyarwanda wanajaribu kutumia tiba chungu sana ya reconciliation baada ya mauaji ya kimbali ya 1994 dhidi ya watusi...SASA nacho waomba please waacheni wanyarwanda wajitibu hawahitaji msaada wenu..kwani ni wao waliouana na niwao watakao tatua tofauti zao.

Unarudia palepale...mauaji ya Watutsi alafu Wanyarwanda wajitibu....so kuna Watutsi na kuna Wanyarwanda?ni watu tofauti?

Hii ndio propaganda ambayo serikali ya Rwanda inajaribu sana kuiuza kwa sababu ya kuogopa kuonekana kuwa nao ni sehemu ya tatizo, lengo hapa ni kuitaka Wahutu wajisikie wanyonge kuwa "wao ndio walikuwa wauaji" ni uleule mpango wa kuwafanya Wahutu wajisikie wanyonge na wakosaji na kuwafanya "watutsi kuwa innocent".

Kama kwako Rwanda ni muhimu kuliko kabila ulipaswa useme hivyo, "Maujai dhidi ya Wanyarwanda", ukiishasema "mauaji dhidi ya Watutsi as if wengine hawakufa kwa namna nyingine nawe unadhibitisha kuwa ni mkabila kama hao unaojifanya kuwapinga".

Kama interahamwe walivyokuwa tatizo na ni msingi wa hofu kwa Watutsi wa Rwanda vivyovivyo ndivyo RPF walivyokuwa msingi wa hofu kwa Wahutu wa Rwanda, ndio maana busara ni kufanya maridhiano na kusahau yaliyopita.
 
Mukamasimba you are just wasting your time debating huyo mwehu Jmali.He is here for one mission and only one kumwaga sumu,they killed almost a million Tutsi mostly women and innocent children,hawa mbwa don't deserve anywhere close to reconciliation table,hawa wehu ni either surrender and face the justice or kipigo to eliminate

Watutsi million moja walikuwa wanaishi wapi hapo Rwanda mwaka 1994?ongea kwa fact, wangewatoa wapi hao million moja wa kuwaua?
 
nacho kuambia hawa jamaa wamshukuru pk bila yeye wangefutiliwa mbali nafikiri pasingekuwepo hiyo kabila ndani ya rwanda kwani walifanya ukatili mkubwa sana na waliiumiza roho nyingi za watusi.

Bila shaka wewe ni ndio mkabila haswa na ndivyo wengi wanaomuunga mkono Kagame walivyo, wana mtazamo kama wako lakini wanajificha kwenye Unyarwanda huku wakiendelea kupromote mtazamo wa "wachache dhidi ya wengi", na hilo ndilo litakalowafanya muwe wakimbizi muda mchache ujao maana hakuna namna ya kuwatawala "wengi bila ridhaa yao".

Badilikeni wakati bado mna uwezo wa kuongoza mabadiliko kwani wakati utafika ambao mabadiliko yatawasomba kama mafuriko na hamtakuwa na uwezo tena wa kunegotiate.
 
Watutsi million moja walikuwa wanaishi wapi hapo Rwanda mwaka 1994?ongea kwa fact, wangewatoa wapi hao million moja wa kuwaua?
unaanza kuonekana chizi tuu kama jmali..leave Rwandese alone wakati kina Jmali wanawachinja hamkuwasaidia chochote and no idea why everyday kazi yako ni kulaumu Kagame and Tutsi,bro you are not sincere if not serious
 
Bila shaka wewe ni ndio mkabila haswa na ndivyo wengi wanaomuunga mkono Kagame walivyo, wana mtazamo kama wako lakini wanajificha kwenye Unyarwanda huku wakiendelea kupromote mtazamo wa "wachache dhidi ya wengi", na hilo ndilo litakalowafanya muwe wakimbizi muda mchache ujao maana hakuna namna ya kuwatawala "wengi bila ridhaa yao".

Badilikeni wakati bado mna uwezo wa kuongoza mabadiliko kwani wakati utafika ambao mabadiliko yatawasomba kama mafuriko na hamtakuwa na uwezo tena wa kunegotiate.

promote what??sumu zimewaingia nyie mnahitaji msaada and I think unaongelea kijiji cha wauaji mlichokiacha 1994..and its all wishful thinking.
 
unaanza kuonekana chizi tuu kama jmali..leave Rwandese alone wakati kina Jmali wanawachinja hamkuwasaidia chochote and no idea why everyday kazi yako ni kulaumu Kagame and Tutsi,bro you are not sincere if not serious

Ni vizuri zaidi ungesema "wakati wanyarwanda (Watutsi na wahutu tunachinjana).

Binafsi nawatakieni heri sana Wanyarwanda mjenge amani ili yale yaliyotokea yasirudie tena. Lakini pia kwa sababu za kiutu sio sahihi na haitakuwa fair kwa Mnyarwanda aliye na maisha yake leo Rwanda eti kesho tena awe mkimbizi Uganda au Tanzania, sio fair kwake.

Na njia sahihi ya kuyazuia mambo yale kujirudia tena ni kwa pande zote kuwa na hadhi sawa na kujisikia sehemu ya serikali yao, ndio maana ni muhimu sana kwa viongozi wa Rwanda na Wanyarwanda kwa ujumla kuijenga Rwanda yenye maridhiano ya kijamii kwa ajili ya usalama na amani ya kudumu.

Mathalani saizi yanaongelewa tu maswaiba yaliyowapata Watutsi sio kwa sababu Wahutu hawakupata maswaiba bali ni kwa sababu maswaiba yao hayapaswi kuongelewa, ni kosa la jinai.Hamuwezi kujenga jamii moja kwa njia hii.Na ndio maana Kagame sio mtu sahihi kuongoza maridhiano kwa sababu naye kama walivyokuwa Intarahamwe alikuwa sehemu ya tatizo.
 
Mukamasimba nakupa pole sana kwa kweli, nimefuatilia huu mjadala, mpaka kusoma post tu bila hata kujibu nimechoka, usisumbue kichwa chako eti unamuelimisha JMali -Jean Marie Runiga (RUNIGAMPINJA) hatakuelewa hata siku moja japo anaujua ukweli lakini kwakuwa ni muathirika wa mauaji ya wanyarwanda (on the side of the killers) na anajaribu kutafuta justification za matendo yao maovu. Kwa kweli point zake zina lengo moja tu. KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA RWANDA, amejitahidi sana, kwa taarifa yako hayuko pekeyake ni kikundi cha watu ambacho wala sio kwenye hii JF tu wapo sehemu nyingi, Wamefaulu kuipaka Rwanda na Raisi wake matope saana kwa nia kuwa labda dunia kwa kupitia baadhi ya nchi itawasaidia ili ikiwezekana Rwanda iadhibiwe na hatimaye matendo yao ya 1994 yasahaulike/yafutike but they will not succeed. At certain point walikuwa karibu kufaulu, kwani SPY Master (RIP) aliwapa plans ambazo kwa kweli kama si u sharp na kuwa na better plans kwa PK wangeweza kufaulu. Walifaulu kutia dosari uhusiano wa kuheshimiana kati ya Rwanda na TZ ambao ulikuwa haujawahi kutetereka hata kidogo na ambao ulikuwa unaonekana ni bora na Imara kwani Rwanda na PK walikuwa wameiweka TZ kati ya sehem pekee ambako udugu na uhusiano mwema kati ya nchi hizi mbili ni lazima urindwe at any cost, ni task waliyopewa viongozi wa ngazi zote za nchi (nilishawahi kufafanua hili humu ndani kwa mifano). SPYMASTER kwa kuijua Rwanda na Umuhimu wa TZ kwa Rwanda na kwa kujua ni kitu gani kinachoweza wakasirisha wa Rwanda na Viongozi wake, ndipo walimnongoneza JK and the rest is history, Plan ilikuwa ndio hiyo na baada ya mtafaruku akina JMALI waingie kazini kila sehemu na kumwaga sumu dhidi ya Rwanda na PK ili hatimaye malengo yao maovu yatimie, kama nilivyokwambia hayuko pekeyake, wako wengi its a very big conspiracy, Issue ya lake Rweru inakuja as part ya hii, JMali ali saidia saana kupaka kuhusiana na hilo ili mradi dunia nzima iwaone wa Rwanda kama waovu, kuna baadhi ya waandishi hata wa BBC walizua na ku fablicate related issues kwenye Lake Rweru but at the end ikaonekana in fact Rwanda iko mbari sana na hizo issue, na baada ya kuona uchunguzi unaelekea sehemu nyingine na sio Rwanda story nzima ikawa meaningless na ikafa kibudu, Kama vile mpango wa kutokomeza waasi wote ndani ya Congo ulivyo kufa baada ya M23 kutoweka bila kukimbilia Rwanda kama ilivyotarajiwa. Hivi sasa JMali ana hasira sana ndio maana hata post zake siku hizi zina lack substance, analeta mambo ya Rwabugiri as if he was Tusti King fighting Hutus, hiki ni kichekesho, huyu alikuwa mfalme wa wanyarwanda wote, Mfalme hana Kabila na aliwalinda raia wake wote wahutu, watusi, watwa, ndio maana hao wote walipatikana katika sector zote, Jeshini na kwenye Utawala nk, aliwalinda raia wote kwa pamoja bila kubagua ndio maana hadi leo hii hakuna Mnyarwanda hata mmoja aliyeuzwa utumwani japo kingdoms nyingi tu ndani ya Great lakes na Africa kwa ujumla ziliuza raia wake au zilishindwa kuwalinda ipasavyo. Analeta mambo ya alliance, hii ni njia ambayo wanyarwanda wameamua kuitumia ili kuimarsha umoja wao, hawahitaji kuiga vya wengine, hizi ndio home grown solutions unazosikia kama vile Ubudehe, Umuganda, Kuremera, Gacaca nk (Sorry I can not translate. Kwa ufupi ndugu yangu JMali ukitaka ujinyonge kwani harakati zenu zoote zimegonga ukuta kwani Mwaka huu wa 2014 Rwanda na PK wameweza kuturiza kwa ufanisi mkubwa storm yoote iliyokuwa inavuma, infact tofauti na 2013 mwaka huu unaicha Rwanda ikiwa shwari, more stable prosperous with more friends Hongera PK. Next year it will be even better kwani kuna vitu PK anapanga kwa maendeleo ya wananchi wake ukipenda nikudokezee nitafute nakushauri urudi kwenu kwani my friend East West Home is Best.
 
View attachment 212476

Anyone attempting to destabilise Rwanda whether from within or outside the county will face severe consequences, President Paul Kagame has warned.

Rwanda’s President issued the stern warning Friday during the 12th National Dialogue Council held at the country’s Parliament, in the capital Kigali.

“We have secured the right to be and nobody is going to take away this right. No one has a right to do so.For those who will attempt, it will be very expensive for them,” Kagame said.

However, President Kagame did not single out anybody, but warned anyone within and outside Rwanda will face severe actions.

Kagame said that Rwandans have chosen the right to be, and that ‘no one in the World has the right to deny them that right.’

Recounting 20 years ago when he was still in liberation struggle which ended the Genocide against Tutsi, Kagame pinned United Nations for its efforts to sabotage Rwandans from liberating themselves.

Kagame, who led the struggle, said he was then in Musha, Eastern part of Rwanda, when a UN agent threatened him through a telegram message, to lay down arms, saying the whole World was against RPF/A’s war against then government.

Kagame, instead resisted the idea and successfully won the battle.

Twenty years after the struggle, Kagame reminded Rwandans that they have achieved a lot, but still have a long way to go.

“The situation of our country gets better every day for all of us, but the tasks ahead get even harder for all of us. However, there is a balance because as it gets hard ahead of us, we have also built strength and capacity to deal with it,” he added.

The President called on Rwandans to always draw from lessons learnt in the past.

“What we have gone through should not be wasted. They have and should have shaped us to overcome any hardships in the future,”He said.



SOURCE:
KTPress

-

If he is again trying to implicitly threaten Tanzania and our president, jibu ni kuwa mtu mzima hatishiwi nyau. The trouble of PK is that he is always crying foul, i wonder why is that. Leo wakiwa ni watu tofauti na yeyey anazungumzia sympathizers, kesho anasema wenye ideology mbaya, na kesho kutwa anaanza kuita wadogo zake traitors. I wonder nani alimwambia kuwa yeye ni mungu wa wanyarwanda.
 
If he is again trying to implicitly threaten Tanzania and our president, jibu ni kuwa mtu mzima hatishiwi nyau. The trouble of PK is that he is always crying foul, i wonder why is that. Leo wakiwa ni watu tofauti na yeyey anazungumzia sympathizers, kesho anasema wenye ideology mbaya, na kesho kutwa anaanza kuita wadogo zake traitors. I wonder nani alimwambia kuwa yeye ni mungu wa wanyarwanda.

Soma habari kwanza uielewe, ufanye analysis kabla ya kukurupukia keyboard. If If... Why and where is if and if no IF?
 
Back
Top Bottom