ts bin too long kwa kweli...vp uko na piece??!
Yeah long ago, yaani am tempted sio siri, mtu akinipa ganja usiku huu wallah nampeleka kwa Obama. Maana nna kiu hadi basi, ila kishawishi kibaya sana nlikuwa nshatulia muda mrefuu sasa nikianza tena bange nibangue kiu isinishike tena looh!